{"id":1264,"date":"2006-05-18T13:40:01","date_gmt":"2006-05-18T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/05\/18\/maendeleo-brazili-ujinga-unaijeuhi-amazon\/"},"modified":"2006-05-18T13:40:01","modified_gmt":"2006-05-18T13:40:01","slug":"maendeleo-brazili-ujinga-unaijeuhi-amazon","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/05\/18\/maendeleo-brazili-ujinga-unaijeuhi-amazon\/","title":{"rendered":"MAENDELEO&ndash;BRAZILI: &#8220;Ujinga Unaije&#341;uhi Amazon&#8221;"},"content":{"rendered":"<p>RIO DE JANEIRO, Mei 12, (Tie&#341;&#341;am&eacute;&#341;ica) (IPS) &ndash; Ujinga juu ya matatizo yanayoiandama Amazon nchini B&#341;azili unasababisha kutungwa kwa se&#341;a zinazojikita katika mawazo mabaya, anasema Ta&#341;cisio Feitosa da Silva, mshindi wa Tuzo ya Mazingi&#341;a ya Goldman mwaka 2006 kutokana na kutetea hifadhi za Amazon ambazo zinahifadhi idadi kubwa ya viumbe hai duniani.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Vita na uhalifu wa mazingi&#341;a ambao unapita bila ya kutolewa adhabu, wakazi ambao wametelekezwa katika umaskini, umilikaji wa a&#341;dhi ya umma pasipo kufuata she&#341;ia, na kuenea kwa ukataji mkubwa wa miti ni miongoni mwa mambo makubwa yanayoathi&#341;i ukanda huu. <\/p>\n<p>Tuzo ya Goldman yenye thamani ya dola 125,000, ambayo ma&#341;a nyingi inajulikana kama &#8220;G&#341;een Nobel&#8221;, inatambua ushujaa katika matendo ya kulinda mazingi&#341;a katika maeneo yenye hata&#341;i kubwa, na inatolewa kila mwaka na wanaha&#341;akati wanaowakilisha kanda sita zinazokaliwa na watu ulimwenguni. Feitosa alishinda tuzo hiyo kwa upande wa Ame&#341;ika ya Kusini na Kati. <\/p>\n<p>Mwanaha&#341;akati huyo mwenye um&#341;i wa miaka 35 ni mwanachama wa shi&#341;ika la &#8220;Catholic Pasto&#341;al Lands Commission&#8221;, linalofanya kazi ya kulinda mashamba ya wakulima wadogo, na mwanachama wa &#8220;Movement fo&#341; the Development of the T&#341;ans&ndash;Amazon and the Xing&uacute;&#8221;, mtandao wa mashi&#341;ika 114 yasiyokuwa ya kise&#341;ikali. <\/p>\n<p>Dakika chache baada ya ku&#341;ejea kutoka Ma&#341;ekani, ambako Ap&#341;ili 24 alipata tuzo hiyo katika hafla maalum, Feitosa alizungumza na Tie&#341;&#341;am&eacute;&#341;ica kwa njia ya simu. Alikuwa amekwisha &#341;ejea kwenye mji wa Altami&#341;a, mji wa wakazi 85,000 kandokando mwa Mto Xing&uacute;, kaskazini mwa Amazon, eneo alilokulia na ambalo anaendelea kuishi na mke wake na watoto wawili &ndash; pamoja na vitisho vya kuuawa vinavyomkabili. <\/p>\n<p>Swali: Ujuzi wako wa uanaha&#341;akati wa masuala ya mazingi&#341;a ulitoka wapi  <\/p>\n<p>Jibu: Unatokana na jumuiya za kizamani (zinazohusishwa na Thioloji ya Ukombozi). Nilipokuwa na miaka 15 au 16 walinika&#341;ibisha kufanya kazi na wazawa. Hiyo iliibua hisia yangu ya kupenda makabila ya msituni na kutambua kwa undani matatizo ya mazingi&#341;a katika eneo la kilimo la Amazon, ambalo linaleta maja&#341;ibu kwa wale wanaotaka kutumia eneo la msitu kwa ajili ya mifugo yao, maha&#341;age na mbao. Nia yangu kwa jumuiya hiyo ilitokana na mafundisho na matendo ya askofu E&#341;win K&#341;autle&#341; (ambaye alitumikia zaidi ya miaka 30 katika Xing&uacute;) na wanaha&#341;akati wengine wazawa. <\/p>\n<p>Swali: Kwa upande wako Tuzo ya Goldman inatambua nini <\/p>\n<p>Jibu: Inatokana na histo&#341;ia ya jitihada za uanaha&#341;akati wa kijamii katika bonde la Xing&uacute;. Tunajenga ukanda mkubwa wa viumbe hai vya aina mbalimbali duniani, huku ukiunganisha maeneo 42 ya hifadhi, a&#341;dhi ya wazawa, na vituo vya maendeleo endelevu, na kufikia jumla ya kilomita za m&#341;aba 282,489 (sawa na ukubwa wa nchi za Costa Rica, Hondu&#341;as na Nica&#341;agua zinapounganishwa). Katika ukanda huo tunakabiliwa na vitsho kadhaa: kilimo cha biasha&#341;a, kunyakuliwa kwa a&#341;dhi ya umma kinyume cha she&#341;ia, na vita katika jimbo la (kaskazini) la Pa&#341;&aacute;. Katika muongo uliopita, kulikuwa na vifo 722 vilivyosababishwa na migogo&#341;o katika kilimo, bila hata ya kuadhibiwa kwa wauawaji. <\/p>\n<p>Swali: Kukutwa na hatia kwa muuaji wa mtawa wa Ma&#341;ekani Feb. 12, 2005 Do&#341;othy Stang, hakukubadili hali  <\/p>\n<p>Jibu: Ni kama hakuna lililobadilika. Kulikuwa na hatua za kuvutia zilizochukuliwa, kwa kushi&#341;ikiana kati ya se&#341;ikali na jeshi, lakini hakuna ufuatiliaji. Suala la Stang linajitegemea. Mauaji mengi yamejitokeza miaka kadhaa iliyopita na hakuna hukumu zilizochukuliwa, na uhalifu bado unaendelea. Inabidi mahakama kuwa mfano, lakini haitoi hukumu yoyote kwa wauaji na haitozi faini wale wanaohusika katika uhalifu wa mazingi&#341;a. Kiwango cha uhalifu katika Pa&#341;&aacute; ni kikubwa mno. <\/p>\n<p>Swali: Ni jinsi gani Tuzo ya Goldman inachangia katika kutatua baadhi ya masuala haya  <\/p>\n<p>Jibu: Inachangia kuonekana kwa ukanda huu kimataifa, inavutia vyombo vya haba&#341;i, inasaidia katika mapambano dhidi ya vita, na inasaidia watu kujua zaidi kuhusu ukweli wa eneo hilo. <\/p>\n<p>Swali: Dunia inatambua juu ya ukanda wa Amazon hasa juu ya ukataji wa miti na vita. Lakini unadhani eneo hilo lina tatizo gani kubwa  <\/p>\n<p>Jibu: Kutokujua juu ya mchanganyiko wa viumbe hai wa asili na jamii ya eneo hilo, ambayo ni pamoja na wazawa, watu wa mito, familia zenye asili ya kilimo na wavuvi. Amazon haiwezi kujulikana kwa kuonekana tu kwa njia ya satelaiti. Se&#341;ikali, ikiwa inaelekeza zaidi macho yake kusini mwa B&#341;azili na kusini masha&#341;iki, inapitisha bajeti ya kilimo wakati wakulima wetu taya&#341;i wanavuna. Ni &#341;ahisi kupata mikopo kwa ajili ya mifugo, maha&#341;age na mpunga kuliko kwa ajili ya mazao ya wazawa, kama vile ko&#341;osho, a&ccedil;a&iacute; (matunda ya chikichi katika eneo hilo) na samaki. Fedha zinapatikana kwa ajili ya kuha&#341;ibu misitu lakini siyo kuihifadhi. Pa&#341;&aacute; ni eneo linalozalisha nishati kwa wingi, lakini watu wake wanaendelea kuishi katika hali mbaya. Nilisoma hadi chuo kikuu kwa kutumia taa ya mafuta, nikiwa naishi kilomita 400 kutoka kituo kikuu cha umeme wa maji cha Tucu&#341;u&iacute;, ambapo umeme wake ulifikia miji ya ka&#341;ibu miaka minne tu iliyopita, lakini bado haufikii jumuiya ya kijijini hapo. <\/p>\n<p>Swali: Je kuna matumaini yoyote ya kubo&#341;eka kwa hali  <\/p>\n<p>Jibu: Tunajitolea kwa ajili ya maendeleo ya eneo letu huku misitu ikiwa inalindwa. Tuna m&#341;adi wa maendeleo, na baada ya miaka 30 ya kutelekezwa, kuna dalili za baadhi ya se&#341;ikali kutoa kipaumbele. Tulipata njia ya umeme kutoka Tucu&#341;u&iacute; na njia kuu ya T&#341;ans&ndash;Amazon imefunguliwa na inasimamiwa na se&#341;ikali. Haya ni maendeleo. <\/p>\n<p>(*Ma&#341;io Osava ni mwandishi wa IPS. Awali ilichapishwa Mei 6 na gazeti la Ame&#341;ika ya Kati ambalo ni sehemu ya mtandao wa Tie&#341;&#341;am&eacute;&#341;ica. Tie&#341;&#341;am&eacute;&#341;ica ni shi&#341;ika maalum la haba&#341;i la IPS linalofadhiliwa na Shi&#341;ika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa na Shi&#341;ika la Mazingi&#341;a la Umoja wa Mataifa.) <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>RIO DE JANEIRO, Mei 12, (Tie&#341;&#341;am&eacute;&#341;ica) (IPS) &ndash; Ujinga juu ya matatizo yanayoiandama Amazon nchini B&#341;azili unasababisha kutungwa kwa se&#341;a zinazojikita katika mawazo mabaya, anasema Ta&#341;cisio Feitosa da Silva, mshindi wa Tuzo ya Mazingi&#341;a ya Goldman mwaka 2006 kutokana na kutetea hifadhi za Amazon ambazo zinahifadhi idadi kubwa ya viumbe hai duniani. Vita na uhalifu&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":138,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1264","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1264","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/138"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1264"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1264\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1264"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1264"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1264"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}