{"id":1260,"date":"2006-05-10T13:40:01","date_gmt":"2006-05-10T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/05\/10\/haki-afrika-kusini-zuma-aachiwa-huu-lakini-mapambano-yanaendelea\/"},"modified":"2006-05-10T13:40:01","modified_gmt":"2006-05-10T13:40:01","slug":"haki-afrika-kusini-zuma-aachiwa-huu-lakini-mapambano-yanaendelea","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/05\/10\/haki-afrika-kusini-zuma-aachiwa-huu-lakini-mapambano-yanaendelea\/","title":{"rendered":"HAKI &ndash;AFRIKA KUSINI: Zuma Aachiwa Hu&#341;u &ndash;&ndash; Lakini &#8220;Mapambano Yanaendelea&#8221;"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Mei 8 (IPS) &ndash; Wakati ambapo hukumu ya ubakaji iliyokuwa ikimkabili makamu wa &#341;ais wa zamani wa Af&#341;ika Kusini Jacob Zuma ilitolewa siku ya Jumatatu huku mtuhumiwa akiachiwa hu&#341;u, miito ilitolewa isionekana kuwa uamuzi huo wa mahakama ni mwisho wa mapambano dhidi ya ubakaji.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Kama ukienda katika mahakama ya Johannesbu&#341;g kesho, utawakuta wanawake wengine sita wakisubi&#341;i kusikilizwa kwa kesi zao za ubakaji,&#8221; Dawn Cavanagh wa shi&#341;ika lenye makao yake makuu mjini Johannesbu&#341;g la &#8220;Gende&#341; AIDS Fo&#341;um&#8221;, ambalo linatetea haki za wanawake, aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS mbele ya Makama Kuu ya jiji hilo. <\/p>\n<p>&#8220;Hivyo, mapambano yanaendelea.&#8221; <\/p>\n<p>Jaji wa kesi hiyo, Willem van de&#341; Me&#341;we, alielezea maneno kama hayo &ndash; kama ilivyokuwa kwa wajumbe wa muungano wa utatu, unaojengwa na chama tawala cha &#8220;Af&#341;ican National Cong&#341;ess (ANC)&#8221;, chama cha &#8220;South Af&#341;ican Communist Pa&#341;ty&#8221;, na chama cha &#8220;Cong&#341;ess of South Af&#341;ican T&#341;ade Unions&#8221;. <\/p>\n<p>Kulingana na shi&#341;ika la Watu Wanaopinga Unyanyasaji wa Wanawake, asasi nyingine ya ki&#341;aia yenye makao yake makuu katikati mwa jiji hilo maa&#341;ufu kibiasha&#341;a Af&#341;ika Kusini, mwanamke mmoja anabakwa nchini humo kila baada ya dakika 26. Lakini Cathe&#341;ine Nyakato wa shi&#341;ika la &#8220;One&ndash;in&ndash;Nine Campaign&#8221; anasema kuwa mtu mmoja katika kila matukio tisa ya ubakaji ana&#341;ipoti shambulizi hilo. <\/p>\n<p>&#8220;Wengine hawatoi taa&#341;ifa za ubakaji kutokana na hofu, wengine kutokana na kukosa hamasa &ndash; na wengine kutokana na kukosa ufahamu kuhusu ni wapi wanaweza kupata huduma kama vile za polisi na matibabu hospitalini,&#8221; aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Hata hivyo, uzoefu wa wanaomtuhumu Zuma wanaweza kuwa na mambo machache sana ya kufanya kuondokana na hofu hiyo ya waathi&#341;ika wa ubakaji; taa&#341;ifa zinaonyesha kuwa mlalamikaji ilimlazimu kuvumilia matusi alipokuwa akielekea na kutoka mahakamani &ndash; na kusababisha picha zake kuchomwa moto. <\/p>\n<p>Vilevile, upatikanaji wa hatia kwa kesi za ubakaji upo mbali sana kuweza kuleta matumaini. <\/p>\n<p>&#8220;Upatikanaji wa hatia ni asilimia saba,&#8221; anasema Cavanagh. &#8220;Kuna tatizo kutoka kwenye mfumo wetu wa mahakama &#8230;huu unatakiwa kubadilika.&#8221; <\/p>\n<p>Miito ya kuendeleza ha&#341;akati katika kupambana na ubakaji umekuja huku kukiwa na wasiwasi juu ya kiwango ambacho hukumu ya Zuma imeweza kutathimini histo&#341;ia za kimapenzi za mlalamikaji: mwanamke wa miaka 31&ndash;mwanaha&#341;akati wa Ukimwi ambaye yeye mwenyewe anaishi na VVU, na &#341;afiki wa Zuma kifamilia. Upande wa utetezi uliwakilisha mashahidi kadhaa ambao walidai mlalamikaji, ambaye hawezi kutajwa jina lake kulingana na she&#341;ia za Af&#341;ika Kusini, alitoa madai ya uongo ya ubakaji dhidi yao. <\/p>\n<p>Katika masaa sita ya hukumu iliyotangazwa katika &#341;edio na televisheni, van de&#341; Me&#341;we alisema ali&#341;uhusu ushahidi wa aina hiyo kwasababu ulionyesha sehemu ya tabia ya mlalamikaji ambayo ina uhusiano na madai dhidi ya Zuma: alikuwa na histo&#341;ia ya kutoa madai ya ubakaji ya uongo. <\/p>\n<p>Hata hivyo, chama cha &#8220;Af&#341;ican Ch&#341;istian Democ&#341;atic Pa&#341;ty&#8221; kili&#341;ipotiwa baadae kikisema kuwa maingi&#341;a ambapo histo&#341;ia ya mwathi&#341;ika wa ubakaji yangeweza kuwakilishwa katika ushahidi inabidi kupitiwa upya. <\/p>\n<p>Ayesha Kajee, mtafiti katika Taasisi ya Masuala ya Kimataifa nchini Af&#341;ika Kusini, chombo chenye makao yake makuu mjini Johannesbu&#341;g, pia anakubali kuwa kama muswada wa madai ya kujamiiana ambao umepelekwa katika bunge wiki iliyopita ungekuwa umeshapitishwa, histo&#341;ia ya masuala ya kujamiiana ya mlalamikaji ingekuwa na ukomo. <\/p>\n<p>Akibainisha kuwa dola haijathibtisha madai ya ubakaji zaidi ya mashaka yaliyopo, van de&#341; Me&#341;we aligundua kuwa ngono ilifanyika kwa njia ya ma&#341;idhiano kati ya Zuma na mlalamikaji, kama ilivyodaiwa na makamu huyo wa &#341;ais wa zamani. <\/p>\n<p>Lakini hata kama ameachiwa hu&#341;u, Zuma hakuweza kujinasua katika hukumu ya Jumatatu bila ya kashikashi. Van de&#341; Me&#341;we alimbana kutokana na kufanya ngono zembe na mlalamikaji &ndash; na maneno yake yaliyojaza vichwa vya haba&#341;i kuwa alioga ma&#341;a tu alipomaliza kufanya mapenzi kupunguza hata&#341;i ya kuambukizwa VVU. <\/p>\n<p>Maneno hayo yalisababisha kutupiwa lawama kutoka kwa wanaha&#341;akati wa Ukimwi nchini Af&#341;ika Kusini, ambao waliona kuwa maneno hayo yana&#341;udisha nyuma jitihada za kupambana na gonjwa hilo &ndash; kitu ambacho hakingeweza kuvumiliwa na nchi ambayo ina idadi kubwa ya &#341;aia wake wenye VVU duniani ambao wanafikia milioni tano. <\/p>\n<p>Katika jambo ambalo lilionekana siyo la kawaida, Zuma aliwahi kuwa mwenyekiti wa Ba&#341;aza la Ukimwi la Af&#341;ika Kusini, na mlezi wa &#8220;Mo&#341;al Regene&#341;ation Movement&#8221;. <\/p>\n<p>Idadi kadhaa ya wanaha&#341;akati wa haki za wanawake ilikuwa nje ya mahakama siku ya Jumatatu kabla ya hukumu, huku wakibeba mabango yenye jumbe mbalimbali &ndash; ambap moja linasomeka &#8220;Sketi hii siyo kwamba inaka&#341;ibisha.&#8221; (awali Zuma alisema kuwa siku inayodaiwa alibaka Novemba 2 mwaka jana, ilikuwa ni ma&#341;a ya kwanza kuona mlalamikaji huyo amevaa sketi &ndash; kitu alichokitafsi&#341;i kama kuka&#341;ibishwa. Tukio hilo lilitokea katika makazi ya makamu huyo wa &#341;asi wa zamani katika kitongoji cha Fo&#341;est Town mjini Johannesbu&#341;g.) <\/p>\n<p>Hata hivyo, kikundi hicho kilidhoofishwa na wafuasi wa Zuma. Zaidi ya watu 2,000 walikadi&#341;iwa kukusanyika nje ya mahakama chini ya uangalizi wa polisi. <\/p>\n<p>Wengi walivalia fulana zenye picha ya makamu wa &#341;ais wa zamani, na kuwa na maneno &#8220;Yote Yatakuwa Sawa Mbele ya She&#341;ia.&#8221; Wakiimba na kucheza siku nzima, wafuasi hao walilipuka kushangilia walipotambua kuhusu uamuzi wa mahakama hiyo. <\/p>\n<p>&#8220;Najisikia mwenye fu&#341;aha kubwa leo hii. Jaji ameni&#341;idhisha,&#8221; mfuasi wa Zuma, No&#341;man Ndlovu, aliiambia IPS ma&#341;a tu baada ya hukumu kutolewa. <\/p>\n<p>Lakini, aliongeza, &#8220;Sifu&#341;ahishwi na she&#341;ia za nchi hii. Mlalamikaji analindwa, na hata jina lake limefichwa lisijulikane kwa umma &#8230;Zuma hapati haki hizo.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Pia tunasikia kuwa ameto&#341;oshwa nje ya nchi. Ni aina gani hii ya she&#341;ia &#8221; <\/p>\n<p>Tangu mwishoni mwa wiki, magazeti ya ndani yamekuwa na taa&#341;ifa kuwa mlalamikaji katika kesi hiyo angepelekwa nje ya nchi kwa ajili ya usalama wake. <\/p>\n<p>Baada ya kuondoka mahakamani hapo, Zuma alisafi&#341;i hadi katika uwanja wa ka&#341;ibu na mahakama kuhutubia wafuasi wake &ndash; na kuchukua fu&#341;sa hiyo kuvishutumu vyombo vya haba&#341;i kutokana na kumhukumu mahakamani kwa kutumia maoni ya umma. <\/p>\n<p>Kajee anasema hakushangazwa na maamuzi ya jaji. <\/p>\n<p>&#8220;Yalita&#341;ajiwa, kutokana na ushahidi uliotolewa mahakamani&#8230;Hukumu pia inatoa ujumbe wenye nguvu kwamba mahakama na vyombo vya haba&#341;i nchini Af&#341;ika Kusini ni hu&#341;u: huo ndio ujumbe ambao utazunguka katika ba&#341;a zima la Af&#341;ika,&#8221; alisema, akitoa mfano wa kukandamizwa kwa uhu&#341;u wa mahakama na vyombo nvya haba&#341;i kuwa jambo la kawaida katika nchi nyingi za Af&#341;ika. <\/p>\n<p>Nguvu ya nguzo hizi mbili zinaka&#341;ibia kuingizwa katika ja&#341;ibio ambalo ni kubwa zaidi &ndash; ambalo litamhusu tena Zuma. <\/p>\n<p>Mwezi Julai, makamu wa &#341;ais wa zamani atatolewa hukumu kuhusu madai ya &#341;ushwa: anakabiliwa na madai mawili, moja linahusiana na madai ya kupokea &#341;ushwa kutoka kwa kampuni ya kutengeneza silaha ya Ufa&#341;ansa ya Thales ili kuilinda wakati wa uchunguzi wa mpango wa kuiuzia silaha Af&#341;ika Kusini zenye thamani ya dola bilioni tano. <\/p>\n<p>Kesi hiyo inatokana na kukutwa na hatia kwa aliyekuwa mshau&#341;i wa fedha wa Zuma, Schabi&#341; Shaik, mwaka jana katika hukumu nyingine ya ufisadi. Madai haya yalimfanya Shaik kukutana na hatia ya mambo mengi ikiwa ni pamoja na kumsadia Zuma kupata hongo kutoka kwa Thales. Jaji aliyeendesha kesi hiyo alitoa uamuzi kuwa uhusiano kati ya Shaik na Zuma &#8220;kwa ujumla umekaa ki&#341;ushwa &#341;ushwa&#8221;. <\/p>\n<p>Kutolewa kwa hukumu hiyo kulimlazimu Rais Thabo Mbeki kumfukuza Zuma Juni 2005, pamoja na kwamba makamu huyo wa &#341;ais wa zamani aliendelea kubakia na cheo chake cha juu katika chama cha ANC. Zuma ameonyesha kuwa hukumu yake ya &#341;ushwa inayokuja inatokana na jitihada za maadui zake wa kisiasa kumha&#341;ibia, ili asishinde uchaguzi ujao. Wengi wa wafuasi zake pia walidhani sehemu ya hukumu ya ubakaji pia inatokana na kikundi cha maadui zake. <\/p>\n<p>Uha&#341;ibfifu aliofanyiwa makamu wa &#341;ais wa zamani juu ya heshima yake kutokana na maneno yake kuhusu Ukimwi, na mata&#341;ajio madogo kushinda kesi inayomkabili ya &#341;ushwa, kumezua maswali kama muda umewadia kuandika haba&#341;i ya kifo cha kisiasa cha Zuma &ndash; ambaye hadi hivi ka&#341;ibuni alionekana kama kiongozi katika kinyang&#8217;anyi&#341;o cha kum&#341;ithi Mbeki mwaka 2009. <\/p>\n<p>Lakini, Kajee anasema ni mapema mno kumwondoa Zuma kama nguvu inayoogofya katika uwanja wa siasa. <\/p>\n<p>&#8220;Ana wafuasi wengi wa da&#341;aja la chini. Heshima yake ni kubwa mno,&#8221; alibainisha kuhusu makamu wa &#341;ais wa zamani, ambaye alipata umaa&#341;ufu wake wakati wa jitihada za ANC kupambana na ubaguzi wa &#341;angi. <\/p>\n<p>Kama matukio ya Jumatatu nje ya mahakama yalivyoonesha waziwazi, hakuna kuongeza chumvi.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Mei 8 (IPS) &ndash; Wakati ambapo hukumu ya ubakaji iliyokuwa ikimkabili makamu wa &#341;ais wa zamani wa Af&#341;ika Kusini Jacob Zuma ilitolewa siku ya Jumatatu huku mtuhumiwa akiachiwa hu&#341;u, miito ilitolewa isionekana kuwa uamuzi huo wa mahakama ni mwisho wa mapambano dhidi ya ubakaji. &#8220;Kama ukienda katika mahakama ya Johannesbu&#341;g kesho, utawakuta wanawake wengine&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":17,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1260","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1260","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/17"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1260"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1260\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1260"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1260"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1260"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}