{"id":1259,"date":"2006-05-10T13:40:01","date_gmt":"2006-05-10T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/05\/10\/maendeleo-kenya-faida-ya-kahawa-haijawafikia-wakulima\/"},"modified":"2006-05-10T13:40:01","modified_gmt":"2006-05-10T13:40:01","slug":"maendeleo-kenya-faida-ya-kahawa-haijawafikia-wakulima","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/05\/10\/maendeleo-kenya-faida-ya-kahawa-haijawafikia-wakulima\/","title":{"rendered":"MAENDELEO&ndash;KENYA: Faida ya Kahawa Haijawafikia Wakulima"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Mei 7 (IPS) &ndash; Siku za nyuma Lucy Wangui amekuwa akiithamini miti yake ya kahawa, lakini siyo sasa. Badala yake, mkulima mdogo mdogo huyo kutoka katikati mwa Kenya anasema inamsababishia matatizo zaidi kuliko kumpatia faida.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Wangui &ndash; ambaye alianza kilimo cha kahawa mwaka 1975, na alikuwa na mimea 300 &ndash; amekuwa hana matumaini kutokana na kuzo&#341;ota kwa sekta ya kahawa, hali iliyosababisha madha&#341;a makubwa hasa kwa wakulima wadogo wadogo. <\/p>\n<p>&#8220;Siku za nyuma, mikahawa 300 ingeweza kunipatia zaidi ya shilingi za Kenya 50,000 (ka&#341;ibu dola 714). Baadae ilishuka hadi shilingi 20,000 (ka&#341;ibu dola 285), na sasa inanipatia shilingi 7,000 (kama dola 100), ambazo nalipwa na mawakala baada ya mwaka mmoja kupita,&#8221; aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS. <\/p>\n<p>&#8220;Siwezi kuwapeleka watoto wangu wote kumi shule kwasababu mapato yatokanayo na kahawa hayatoshelezi; siwezi hata kuwapatia chakula. Ninatumia fedha nyingi kuzalishia kahawa, lakini ninachovuna hakiendani na ninachotumia.&#8221; <\/p>\n<p>Kwa kuongeza, mfumo ambao uli&#341;uhusu wakulima kupata mbolea za viwandani kwa mkopo kutoka katika viwanda vya mbolea uliha&#341;ibiwa. Huku kukiwa na &#341;iba kubwa ambayo inawatishia wakulima kuchukua mikopo ya kununulia mbolea, ubo&#341;a wa kahawa umeshuka, alifahamisha Wangui. <\/p>\n<p>&#8220;Je si inafaa kuachana kabisa na kuanza kupanda mahindi au ndizi kwa ajili ya chakula cha watoto wangu &#8221; <\/p>\n<p>Hakika, Wangui taya&#341;i ameshaanza kupanda mazao mbadala, amekata mimea yake ya kahawa 100 kati ya 300, na badala yake amepanda mahindi. Kama kilimo cha kahawa hakileti faida mapema, atakata mimea yote. <\/p>\n<p>Pete&#341; Mwangi Njo&#341;oge, mwenyekiti wa Chama cha Wakulima Wadogo Wadogo wa Kahawa ana hadithi inayofanana na hiyo; amekuwa mkulima wa kahawa tangu mwaka 1970. <\/p>\n<p>&#8220;Mwaka jana nilivuna kilo 1,000 za kahawa, na nililipwa jumla ya shilingi za Kenya 16,000 (kama dola 229),&#8221; aliiambia IPS, akifafanua kuwa hii ni sawa na shilingi 16, au kama senti 20 za dola, kwa kila kilo moja ya kahawa. <\/p>\n<p>&#8220;Nilitumia shilingi za Kenya 12,000 (dola 171) kuzalisha kahawa, kununulia mbolea, kuwalipa viba&#341;ua wangu. Hii ina maanisha kuwa nilipata faida ya shilingi 4,000 tu za Kenya (kama dola 57),&#8221; Njo&#341;oge alisema. <\/p>\n<p>&#8220;Natambua bei halisi ya kilo ya kahawa ilikuwa zaidi ya shilingi za Kenya 16. Tatizo kubwa katika nchi hii ni kwamba wakulima wa kahawa wanalipwa bei ya chini sana.&#8221; <\/p>\n<p>Ime&#341;ipotiwa kuwa kahawa inanunuliwa kwa dola tatu kwa kilo katika minada nchini Kenya. <\/p>\n<p>&#8220;Kama kahawa hii hainisaidii, hainifai. Kama matatizo haya hayawezi kutatuliwa, nitawashawishi wakulima wadogo wadogo kukata miti yao ya kahawa,&#8221; Njo&#341;oge aliongeza. <\/p>\n<p>Mawazo haya ya kuchanganya yalifunika mkutano wa siku mbili uliofanyika katika mji mkuu wa Kenya, Nai&#341;obi wiki iliyopita. Mkutano wa Mei 4&ndash;5, uliofanyika kwa msaada wa shi&#341;ika la misaada la &#8220;No&#341;wegian Chu&#341;ch Aid&#8221;, uliwakutanisha kwa pamoja wakulima wadogo wadogo na watunga se&#341;a katika jitihada ya ku&#341;ejesha hadhi ya sekta ya kahawa inayozidi kufifia. <\/p>\n<p>Kahawa ilikuwa bidhaa inayoiingizia Kenya fedha nyingi za kigeni wakati taifa hilo la Af&#341;ika Masha&#341;iki lilipojipatia uhu&#341;u wake mwaka 1963, na hali hii kubakia hivyo hadi mwishoni mwa miaka ya 1980. Lakini uzalishaji ulishuka tangu wakati huo, na sasa kahawa ni bidhaa ya nne inayoliingizia taifa hilo fedha nyingi za kigeni nyuma ya utalii, chai na maua. <\/p>\n<p>Kulingana na maofisa wa kilimo, kwa sasa Kenya inazalisha ka&#341;ibu tani 50,000 za kahawa, ikilinganishwa na tani 130,000 katika msimu wa mavuno mengi mwaka 1987\/1988. <\/p>\n<p>Mgogo&#341;o unaikabili sekta unachangiwa na kushuka kwa bei ya kahawa katika soko la dunia kulikosababishwa na akiba kubwa ya kimataifa ya bidhaa hiyo. <\/p>\n<p>Lakini, kupanda ta&#341;atibu kwa bei hakuonekani kufaidisha wakulima wadogo wadogo wa kahawa nchini Kenya, kitu kinachosemekana kuchangiwa zaidi na kuwepo kwa wachuuzi wengi wa kati ambao wananyonya faida yote &ndash; na muundo mbaya wa soko. <\/p>\n<p>&#8220;Ni lazima wakulima wauze kahawa yao mnadani, na kwa kupitia mawakala watatu walioteuliwa kwa mujibu wa she&#341;ia. Mawakala hawa ma&#341;a kadhaa wameonyesha kuwa kilimo cha kahawa kina faida, lakini wakulima hawapati faida hiyo. Inawezekana inapotea mahali fulani,&#8221; anasema James Nyo&#341;o, mku&#341;ugenzi mtendaji wa Taasisi ya Maendeleo ya Se&#341;a za Kilimo ya Tegemeo katika Chuo Kikuu cha Ege&#341;ton nchini Kenya. <\/p>\n<p>Nyo&#341;o aliiambia IPS kuwa she&#341;ia mpya inapaswa ku&#341;uhusu wakulima kukabiliana moja kwa moja na wanunuzi ili waweze kutambua masoko yanahusu nini, na kubadili bidhaa zao kuweza kukidhi mahitaji ya wanunuzi. Anaamini kuwa hii ingeweza kufanyika sambamba na minada. <\/p>\n<p>Watunga she&#341;ia wanaonekana kusikia ushau&#341;i huo. <\/p>\n<p>Muswada wenye lengo la kufanyia mageuzi sekta ya kahawa ambao sasa upo kwenye maandalizi ungewezesha wakulima kushi&#341;ikishwa katika soko la mazao yao, anasema Solomon Wawe&#341;u, mku&#341;ugenzi mkuu wa Bodi ya Kahawa ya Kenya inayomilikiwa na se&#341;ikali. <\/p>\n<p>Kwa kuongeza, wakulima wadogo wadogo wanafanya kampeni ya kuwa na mfumo wa kuuza mazao moja kwa moja: katika ujumbe wao uliopelekwa kwa wazi&#341;i wa kilimo katika mkutano wa wiki jana, walisema kuwa walitaka kuwafikia wanunuzi na wabanguaji wa kahawa.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Mei 7 (IPS) &ndash; Siku za nyuma Lucy Wangui amekuwa akiithamini miti yake ya kahawa, lakini siyo sasa. Badala yake, mkulima mdogo mdogo huyo kutoka katikati mwa Kenya anasema inamsababishia matatizo zaidi kuliko kumpatia faida. Wangui &ndash; ambaye alianza kilimo cha kahawa mwaka 1975, na alikuwa na mimea 300 &ndash; amekuwa hana matumaini kutokana&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":73,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1259","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1259","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/73"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1259"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1259\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1259"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1259"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1259"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}