{"id":1256,"date":"2006-05-08T13:40:01","date_gmt":"2006-05-08T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/05\/08\/siku-ya-uhuru-wa-vyombo-vya-habari-duniani-sababu-ya-matumaini-na-mashaka-kusini-mwa-afika\/"},"modified":"2006-05-08T13:40:01","modified_gmt":"2006-05-08T13:40:01","slug":"siku-ya-uhuru-wa-vyombo-vya-habari-duniani-sababu-ya-matumaini-na-mashaka-kusini-mwa-afika","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/05\/08\/siku-ya-uhuru-wa-vyombo-vya-habari-duniani-sababu-ya-matumaini-na-mashaka-kusini-mwa-afika\/","title":{"rendered":"SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI: Sababu ya Matumaini Na Mashaka Kusini mwa Af&#341;ika"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Mei 3 (IPS) &ndash; Wakati nchi duniani kote zikiadhimisha Siku ya Uhu&#341;u wa Vyombo vya Haba&#341;i Duniani, kuna picha mchanganyiko juu ya uhu&#341;u wa vyombo vya haba&#341;i Kusini mwa Af&#341;ika.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Angola, ambayo inapona kutoka katika miongo kadhaa ya vita,&#8230;inaanza kufunguka. Angola ilipitisha she&#341;ia yake ya upatikanaji wa haba&#341;i mwaka 2002. Ni isha&#341;a nzu&#341;i kwa se&#341;ikali kuweza kuwa na she&#341;ia ya namna hiyo &ndash; lakini inahitaji mabo&#341;esho makubwa sana,&#8221; alisema Kaiti&#341;a Kandjii, mku&#341;ugenzi wa kanda wa Taasisi ya Vyombo vya haba&#341;i Kusini mwa Af&#341;ika (MISA). Shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;ikali (NGO), lenye makao yake makuu katika mji mkuu wa Namibia, Windhoek, linapigania uhu&#341;u wa vyombo vya haba&#341;i katika mataifa 14 ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika (SADC). <\/p>\n<p>Katika kitabu kilichotolewa siku ya Jumatano cha &#8216;So This Is Democ&#341;acy &#8216; ambayo ni &#341;ipoti ya hali ya uhu&#341;u wa vyombo vya haba&#341;i na kujieleza kusini mwa Af&#341;ika ya mwaka 2005, MISA ilisema kuwa ilitoa haba&#341;i 155 juu ya matukio ya ukiukwaji wa haki ya uhu&#341;u wa vyombo vya haba&#341;i kwa mwaka 2005 katika nchi 11 za SADC. <\/p>\n<p>&#8220;Matukio haya yamepungua kwa asilimia 8.3 kutoka matukio 169 yaliyo&#341;ikodiwa mwaka 2004, na ongezeko la asilimia 57 kutoka matukio 84 yaliyo&#341;ikodiwa mwaka 1994, wakati MISA ilipoanza kufuatilia&#8230; matukio ya ukiukwaji wa uhu&#341;u wa vyombo vya haba&#341;i katika kanda,&#8221; kilisema kitabu hicho. <\/p>\n<p>Nchi zilizofuatiliwa ni pamoja na Angola, Botswana, Lesotho, Malawi, Msumbiji, Namibia, Af&#341;ika Kusini, Swaziland, Tanzania, Zambia na Zimbabwe. <\/p>\n<p>&#8220;Idadi ya taa&#341;ifa 155 zilizotolewa mwaka 2005 inaonyesha miongoni mwa mambo mengine, kuwa waandishi 16 walishambuliwa, 14 waliwekwa kizuizini (na) 36 walidhibitiwa na kulikuwa na matukio 9 ya ushindi katika uhu&#341;u wa vyombo vya haba&#341;i &ndash; aidha kwa kupitishwa kwa she&#341;ia inayounga mkono uhu&#341;u wa haba&#341;i au wakati madai dhidi ya waandishi au vyombo vya haba&#341;i yanapotupiliwa mbali,&#8221; MISA ilisema. <\/p>\n<p>&#8220;Hakuna waandishi waliouawa kutokana na kufanya kazi zao mwaka 2005.&#8221; <\/p>\n<p>Hata hivyo, &#8220;Tuna changamoto kubwa sana kushinikizo she&#341;ia za vyombo vya haba&#341;i katika kanda, Zimbabwe na Swaziland zikiwa &#8220;miongoni&#8221; mwao,&#8221; William Bi&#341;d, mku&#341;ugenzi wa &#8220;Media Monito&#341;ing P&#341;oject&#8221; &ndash; asasi siyokuwa ya kise&#341;ikali yenye makao yake makuu mjini Johannesbu&#341;g nchini Af&#341;ika Kusini aliiambia IPS. <\/p>\n<p>MISA inakubali kuwa Zimbabwe kwa sasa ni moja ya maeneo mabaya zaidi katika nchi za SADC kwa kazi ya uandishi wa haba&#341;i. <\/p>\n<p>&#8220;Pamoja na kwamba Zimbabwe inaongoza katika idadi ya matukio ya ukiukwaji wa haki ya vyombo vya haba&#341;i, MISA ili&#341;ikodi kupungua kwa matukio hayo kwa asilimia 62 (kutoka 120 mwaka 2002 hadi 46 mwaka 2005) nchini Zimbabwe,&#8221; linasema shi&#341;ika hilo katika taa&#341;ifa yake ya Mei 3. <\/p>\n<p>Lakini, siyo lazima hii kuwa ni isha&#341;a ya kubo&#341;eka kwa uhu&#341;u wa vyombo vya haba&#341;i. Kandjii anahusisha hali hii ya kupungua kwa asilimia 62 na &#8220;ukweli kwamba vyombo vya haba&#341;i hu&#341;u nchini Zimbabwe vimenyamazishwa kikamilifu kutokana na kufanya kazi kwa kiasi kikubwa kwa She&#341;ia ya Upatikanaji wa Haba&#341;i na Kulinda Utu wa Mtu Binafsi (AIPPA) na She&#341;ia ya Utulivu wa Umma na Usalama wa Taifa (POSA).&#8221; <\/p>\n<p>Aliiambia IPS kuwa se&#341;ikali imekaza kitanzi katika vyombo vya haba&#341;i kutokana na kusainiwa kuwa she&#341;ia kwa Muswada wa Makosa ya Jinai mwezi Juni: &#8220;(Hii) inafanya kuwa vigumu kwa waandishi wachache waliosalia ambao waliokoka katika utekelezaji wa AIPPA na POSA kufanya kazi zao za kukusanya haba&#341;i bila woga wala upendeleo.&#8221; <\/p>\n<p>Kwa kuongeza, Muswada wa Ma&#341;ekebisho ya She&#341;ia umeongeza adhabu dhidi ya waandishi wa haba&#341;i ambao wanakutwa na makosa ya kuchapisha taa&#341;ifa zinazodhaniwa kuwa matusi au kudhoofisha mamlaka ya &#341;ais. <\/p>\n<p>Zimbabwe imekuwa katika mgogo&#341;o wa kisiasa na kiuchumi katika miaka ya hivi ka&#341;ibuni, ambapo nchi hiyo imekuwa ikitekeleza p&#341;og&#341;amu ya ugawaji upya a&#341;dhi, na kufanya chaguzi kadhaa zilizojawa na matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu. <\/p>\n<p>Nchini Swaziland, nchi ya mwisho kuwa na se&#341;ikali ya Kifalme ba&#341;ani Af&#341;ika, katiba mpya ambayo inatambua uhu&#341;u wa vyombo vya haba&#341;i na kujieleza ilipitishwa na bunge na Mfalme Mswati wa Tatu mwaka jana. Hata hivyo, kuna &#8220;wasiwasi mkubwa kutoka kwa umma &#8221; kuhusu kama mamlaka yatatekeleza katiba hiyo, inabainisha MISA. <\/p>\n<p>&#8220;Wakati kwa nje se&#341;ikali inajionyesha kama ya ki&#341;afiki kwa vyombo vya haba&#341;i vinavyokosoa na vya ha&#341;akati, wanasiasa wanaendelea na se&#341;a isiyotangazwa na iliyojificha ya kulegeza msimamo wa waandishi wa haba&#341;i kwa kutumia vitisho, kuwaaji&#341;i katika wiza&#341;a zao kama makatibu wao; au kuwapatia ma&#341;upu&#341;upu,&#8221; linaongeza shi&#341;ika hilo. <\/p>\n<p>&#8220;Mbinu hizi zinaonekana kufanya kazi kwa kiasi ambacho zimepandikiza kutokuaminiani miongoni mwa wana taaluma, kuvigawa vyombo vya haba&#341;i na waandishi wenyewe.&#8221; <\/p>\n<p>Matumizi ya she&#341;ia pia yanaelezewa kama kitisho cha uhu&#341;u wa vyombo vya haba&#341;i nchini Swaziland. <\/p>\n<p>Vyama vya upinzani vimepigwa ma&#341;ufuku nchini humo kwa zaidi ya miongo mitatu sasa. Mfalme Mswati pia amekuwa chini ya upinzani mkubwa kutokana na matumizi yake makubwa wakati ambapo &ndash; kulingana na Shi&#341;ika la Chakula la Umoja wa Mataifa &ndash; moja ya tatu ya &#341;aia wa Swaziland wanaishi chini ya msta&#341;i wa umaskini. <\/p>\n<p>Wakati ambapo Itifaki ya SADC kuhusu Utamaduni, Haba&#341;i na Michezo iliyopitishwa mwaka 2002, inataka kuongeza upatikanaji wa haba&#341;i katika ukanda huo, matunda yake bado hayajaonekana kikamilifu. <\/p>\n<p>&#8220;Bado inatakiwa ku&#341;idhiwa na baadhi ya nchi,&#8221; alisema Kandjii, na kuongeza kuwa &#8220;&#8230;hali ya utendaji inatakiwa kubadilika. Viongozi wa vyeo vya chini se&#341;ikalini wanaendelea kukataa kutoa taa&#341;ifa. Tunatoa mwito kwa se&#341;ikali kubadili mitizamo yao na tamaduni zao za zamani na kuwa wawazi.&#8221; <\/p>\n<p>Pia anata&#341;ajia kuwa she&#341;ia za kupambana na &#341;ushwa zilizotungwa nchini Namibia, Malawi na Zambia zitachochea upatikanaji wa haba&#341;i, kwani hizi zinalazimisha se&#341;ikali kutoa baadhi ya haba&#341;i kwa mashi&#341;ika yanayochunguza madai ya &#341;ushwa. <\/p>\n<p>Lakini je, waandishi wenyewe wanachukulia faida ya kuwepo kwa she&#341;ia za upatikanaji wa haba&#341;i pale ambapo taya&#341;i zinatumika  <\/p>\n<p>&#8220;She&#341;ia zipo, tunaziunga mkono. Lakini sidhani vyombo vya haba&#341;i vimekuwa vikizitumia ma&#341;a kwa ma&#341;a,&#8221; Joe Thloloe, mwenyekiti wa Chama cha Waha&#341;i&#341;i Kusini mwa Af&#341;ika chenye makao yake makuu mjini Johannesbu&#341;g aliiambia IPS. <\/p>\n<p>&#8220;Ni hali ya kukosa &#341;asilimali na wafanyakazi inayosababisha wasiweze kutumia she&#341;ia ya kupata haba&#341;i kuchunguza haba&#341;i,&#8221; aliongeza. &#8220;Kuna mashi&#341;ika ya haba&#341;i machache sana ambayo yanawekeza katika she&#341;ia hiyo kama vile &#8216;Mail &#038; Gua&#341;dian&#8217; na &#8216;Sunday Times&#8217;. Kwa ujumla wake, watu wanaamua kutumia njia &#341;ahisi ya kukusanya taa&#341;ifa na kuzichapisha.&#8221; <\/p>\n<p>Bi&#341;d anadhani kutokujua kunaweza kuchangia katika hali hii: &#8220;Sidhani watu wengi nchini Af&#341;ika Kusini wanajua kwamba kuna she&#341;ia ya (Kukuza Upatikanaji wa Haba&#341;i ya mwaka 2000),&#8221; alisema. &#8220;Kuna haja kubwa sana ya kufanya kampeni za uhamasishaji kuhusu she&#341;ia hiyo.&#8221; <\/p>\n<p>MISA pia ina wasiwasi mwingine kuhusu maendeleo ya sekta ya haba&#341;i nchini Af&#341;ika Kusini, hasa kuhusu maamuzi ya mahakama mwaka jana ambayo yalizuia &#8216;Mail &#038; Gua&#341;dian&#8217;, magazeti ya kila wiki katika jiji la Johannesbu&#341;g, kutokuandika taa&#341;ifa juu ya kile kilichojulikana kama kashfa ya &#8220;Oilgate&#8221;. Suala hili lilihusu madai kwamba kampuni ya mafuta kwa jina la Imvume imegeuza mwelekeo wa fedha za umma kwa chama tawala cha &#8220;Af&#341;ican National Cong&#341;ess&#8221; kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2004. <\/p>\n<p>&#8220;Kufungiwa huko kuliwakilisha hofu hasa kwamba uamuzi wa mahakama unaweza kufungua njia kwa wengine kuzuia magazeti kuchapisha makala kuhusu vitendo vyao vyenye mashaka au visivyokuwa vya kiuungwana, kwa kuwawezesha kupata udhibiti wa vyombo vya haba&#341;i kishe&#341;ia kwa kupitia mahakama,&#8221; Kandjii alisema.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Mei 3 (IPS) &ndash; Wakati nchi duniani kote zikiadhimisha Siku ya Uhu&#341;u wa Vyombo vya Haba&#341;i Duniani, kuna picha mchanganyiko juu ya uhu&#341;u wa vyombo vya haba&#341;i Kusini mwa Af&#341;ika. &#8220;Angola, ambayo inapona kutoka katika miongo kadhaa ya vita,&#8230;inaanza kufunguka. Angola ilipitisha she&#341;ia yake ya upatikanaji wa haba&#341;i mwaka 2002. Ni isha&#341;a nzu&#341;i kwa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":17,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1256","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1256","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/17"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1256"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1256\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1256"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1256"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1256"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}