{"id":1247,"date":"2006-04-21T13:40:01","date_gmt":"2006-04-21T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/04\/21\/kenya-elimu-kwa-lugha-za-kienyeji-ni-boa-na-isiyotumika\/"},"modified":"2006-04-21T13:40:01","modified_gmt":"2006-04-21T13:40:01","slug":"kenya-elimu-kwa-lugha-za-kienyeji-ni-boa-na-isiyotumika","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/04\/21\/kenya-elimu-kwa-lugha-za-kienyeji-ni-boa-na-isiyotumika\/","title":{"rendered":"KENYA: Elimu kwa Lugha za Kienyeji ni Bo&#341;a na Isiyotumika"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Ap&#341;ili 20 (IPS) &ndash; Mjadala kuhusu ni kwa kiwango gani elimu kwa lugha za kienyeji inaweza kubo&#341;eshwa unaibukia nchini Kenya, huku baadhi ya wataalam wakifanya kampeni juu ya matumizi ya lugha za watoto za kuzaliwa mashuleni.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kenya, kama ilivyo nchi nyingine za Af&#341;ika, ina idadi kubwa ya watoto ambao wanapitia katika mfumo wa elimu ambao ma&#341;a nyingine unashindwa kutoa elimu kwa lugha wanayozungumza majumbani mwao &ndash; ambazo ndizo lugha wanazozijua. <\/p>\n<p>Jambo hili, imesemekana, linachangia kuwa na watu wasiojua kusoma na kuandika &ndash; na kusababisha watu kuingia makazini bila ya kuwa na ujuzi wa kutosha. <\/p>\n<p>Wataalam wanashikilia kuwa wanafunzi wana nafasi kubwa ya kujua kusoma na kuandika kama wataanza kujifunza kwa kutumia lugha yao ya kuzaliwa, na ta&#341;atibu kuhamia kwenye lugha nyingine, kuliko kama wanaja&#341;ibu kupata elimu yao kwa kutumia lugha ya pili. <\/p>\n<p>Tafiti zilizofanywa na Shi&#341;ika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa pia zimeonyesha kuwa watoto wanaopata elimu ya msingi kwa kutumia lugha zao za kuzaliwa wanafanya vizu&#341;i kuliko wale wanaofundishwa kwa kutumia lugha ya Kiinge&#341;eza tu. <\/p>\n<p>Kampeni zinazoendeshwa kushawishi matumizi ya lugha za kuzaliwa katika elimu kwa sasa zinalenga kuwa na se&#341;a ambazo zitashughulikia kwa uhakika suala la kutumia lugha za kuzaliwa kufundishia mashuleni. <\/p>\n<p>Kenya, kwa mfano, ina se&#341;a ya lugha za kuzaliwa ambayo ina&#341;uhusu watoto wa shule za awali na za mada&#341;asa ya chini katika shule za msingi kufundishwa kwa kutumia lugha hizo. Katika miaka inayofuata ya elimu ya msingi na sekonda&#341;i Kiinge&#341;eza kinatumika kama lugha ya kufundishia. <\/p>\n<p>Hata hivyo, se&#341;a hii inaonekana kutekelezwa tu katika maeneo ya vijijini, kulingana na Ma&#341;y Njo&#341;oge, mku&#341;ugenzi wa elimu ya msingi katika Wiza&#341;a ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. &#8220;Se&#341;a hiyo inatakiwa kuanza kutumika katika maeneo ya vijijini. Katika maeneo ya mijini, hakuna (mafunzo) ya lugha za kuzaliwa yanayoeleweka,&#8221; aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Katika maeneo ya mijini, ni suala la kawaida kuwaona watoto wa um&#341;i wa miaka miwili wakiongea Kiinge&#341;eza, ambacho kinatumika zaidi kama lugha ya kufundishia. <\/p>\n<p>Pia kuna wasiwasi kwamba Kiswahili (lugha ya taifa ya Kenya), kimetelekezwa. Kinafundishwa tu katika mashule kama mojawapo ya masomo. <\/p>\n<p>&#8220;Hakuna msisitizo kwa Kiswahili kama ilivyo kwa Kiinge&#341;eza, ambacho ni lugha ya kigeni na ya kikoloni,&#8221; anasema F&#341;ancis Ng&#8217;ang&#8217;a, katibu mkuu wa Chama cha Walimu cha Kenya. <\/p>\n<p>&#8220;Kiswahili pia kinatakiwa kuendelezwa kama lugha ya kufundishia. Kiwango ambacho kimetumiwa kinaleta maswali mengi. Hii inaonyesha kuwepo kwa mitizamo ya kikoloni, na hali hii ni lazima ibadilishwe.&#8221; <\/p>\n<p>Wakati ambapo anakubali kuwa Kiinge&#341;eza kinasaidia, Ng&#8217;ang&#8217;a anasema lugha za kienyeji ni muhimu katika kukuza utamaduni &ndash; na kuwapatia watoto mawazo ya kuwa wataifa na kutambua asili yao. <\/p>\n<p>&#8220;Hivyo ni muhimu kukuza lugha hizi katika ngazi ya chini ya elimu kama vile katika shule za nasa&#341;i, halafu unawaachia watoto wajifunze ta&#341;atibu lugha ya Kiswahili, na Kiinge&#341;eza wakati wanapokuwa wanapanda ngazi. Hili ni lazima lifanyike vijijini na mijini,&#8221; alibainisha. <\/p>\n<p>Hata hivyo, ukuzaji wa lugha za kuzaliwa nazo kunahitaji kuungwa mkono na wengi. <\/p>\n<p>&#8220;Kunahitaji kampeni kubwa ya uhamasishaji kwa wazazi ili waweze kuelewa ni kwa nini ni muhimu kwa watoto kufundishwa kwa lugha za kuzaliwa,&#8221; alisema Njo&#341;oge. Kiinge&#341;eza kinabakia kupendwa na wengi, ambao wanakiona kama lugha ya heshima, kwa ajili ya watu wenye elimu. <\/p>\n<p>Kampeni ya kuwa na lugha za kuzaliwa kufundishia katika mashule pia inaungwa mkono na Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF). <\/p>\n<p>&#8220;Tunashikilia kuwa elimu kwa kutumia lugha za kuzaliwa ni muhimu, kama ilivyo kwa Kiinge&#341;eza, kwasababu tunaishi katika dunia ya kimataifa na hivyo inatubidi kuwaandaa watoto kuwa &#341;aia wa ndani na wa kimataifa,&#8221; anasema Ha&#341;egot Teija Valladingham,kaimu mshau&#341;i wa masuala ya elimu wa UNICEF katika kanda za Af&#341;ika Masha&#341;iki na Kusini. <\/p>\n<p>&#8220;Mbali na hilo, tunapozungumzia kuhusu kufikia lengo la kutoa elimu kwa wote, ni lazima tuangalie pia jambo hilo (la matumizi ya lugha za kuzaliwa katika elimu).&#8221;<\/p>\n<p>Lakini gha&#341;ama za kutekeleza mfumo wa elimu kutumia lugha za kuzaliwa unaleta changamoto. <\/p>\n<p>&#8220;Hili ni suala la gha&#341;ama kubwa kwasababu walimu wanatakiwa kupewa mafunzo na vitabu kutafsi&#341;iwa katika lugha mbalimbali. Nchi nyingi zina lugha za kuzaliwa nyingi sana,&#8221; anasema Valladingham. <\/p>\n<p>Uganda imekutana na changamoto hii. Ikiwa na se&#341;a ambayo ina&#341;uhusu lugha za kienyeji kutumika kufundishia katika maeneo ya vijijini wakati wa mada&#341;asa ya kwanza ya elimu ya msingi, moja ya vikwazo vikuu ni gha&#341;ama kubwa za kuandaa na kuchapisha vitabu na vifaa vingine muhimu vya kufundishia kwa lugha za kienyeji zilizopo nchini Uganda (Uganda ina zaidi ya lugha za kienyeji 30). <\/p>\n<p>Se&#341;ikali ime&#341;ipotiwa kuwa na uwezo wa kuzalisha nyenzo za kufundishia kwa kutumia lugha 20 tu. <\/p>\n<p>Baadhi ya masomo pia yanakataa tafsi&#341;i katika lugha za kienyeji. <\/p>\n<p>&#8220;Ni vigumu kutafsi&#341;i dhana zilizopo kwenye hesabu na baolojia kwenda kwenye lugha za kienyeji &#8230;Kwa nini tusitumie Kiinge&#341;eza  Kiinge&#341;eza ni &#341;ahisi katika kuwasiliana,&#8221; Nelson Kape&#341;eme&#341;a, mku&#341;ugenzi wa elimu ya msingi nchini Malawi, aliiambia IPS hivi ka&#341;ibuni. <\/p>\n<p>Malawi imekuwa na elimu ya lugha za kienyeji, ambapo lugha ya taifa, Chichewa, inatumika kama lugha ya kufundishia katika miaka minne ya awali katika elimu ya msingi.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Ap&#341;ili 20 (IPS) &ndash; Mjadala kuhusu ni kwa kiwango gani elimu kwa lugha za kienyeji inaweza kubo&#341;eshwa unaibukia nchini Kenya, huku baadhi ya wataalam wakifanya kampeni juu ya matumizi ya lugha za watoto za kuzaliwa mashuleni. Kenya, kama ilivyo nchi nyingine za Af&#341;ika, ina idadi kubwa ya watoto ambao wanapitia katika mfumo wa elimu&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":73,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1247","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1247","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/73"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1247"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1247\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1247"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1247"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1247"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}