{"id":1244,"date":"2006-04-19T13:40:01","date_gmt":"2006-04-19T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/04\/19\/siasa-seketaiati-ya-umoja-wa-mataifa-yajiweka-mbali-na-hamas\/"},"modified":"2006-04-19T13:40:01","modified_gmt":"2006-04-19T13:40:01","slug":"siasa-seketaiati-ya-umoja-wa-mataifa-yajiweka-mbali-na-hamas","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/04\/19\/siasa-seketaiati-ya-umoja-wa-mataifa-yajiweka-mbali-na-hamas\/","title":{"rendered":"SIASA: Sek&#341;eta&#341;iati ya Umoja wa Mataifa Yajiweka Mbali na Hamas"},"content":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Ap&#341;ili 14 (IPS) &ndash; Wakati ambapo wale wanaoendesha mambo ya Umoja wa Mataifa wanaonekana kuwa taya&#341;i kukubaliana na hatua za Ma&#341;ekani na Is&#341;ael kugomea uongozi wa Wapalestina, wachambuzi hu&#341;u na waangalizi wa mambo wanashangaa kama mbinu hiyo itakuwa na matunda yoyote yale kama siyo mzunguko mwingine wa vita na umwagaji wa damu.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Pamoja na kuungwa mkono kwa Palestina katika Ba&#341;aza la Kuu la Umoja wa Mataifa na Ba&#341;aza la Usalama, wakuu wa Umoja wa Mataifa wanatambua wazi kuwa hawataendelea kuwa na mawasiliano yasiyokuwa na mipaka na Mamlaka ya Wapalestina. <\/p>\n<p>&#8220;Hali ya kabla na baada ya uchaguzi haifanani,&#8221; Stephane Duja&#341;&#341;ic, msemaji wa Katibu MKuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan, aliwaambia waandishi wa haba&#341;i siku ya Jumanne, na kuongeza kuwa se&#341;a mpya ya uongozi wa Umoja wa Mataifa inataka kupata kibali kutoka kwa Annan kabla ya kufanya mazungumzo na se&#341;ikali ya Kipalestina inayoongozwa na Hamas. <\/p>\n<p>Hamas, ambayo iliingia mada&#341;akani baada ya kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa hivi ka&#341;ibuni wa Palestina, inaonekana kwa Ma&#341;ekani na Is&#341;ael na mataifa ya Ulaya kuwa ni chama cha kigaidi. <\/p>\n<p>Wakosoaji wanasema uamuzi wa Umoja wa Mataifa kugomea Hamas hauwezi kuthibitishwa kwasababu siyo wanachama 191wa Ba&#341;aza Kuu la Umoja wa Mataifa wala wanachama 15 wa Ba&#341;aza la Usalama wamewahi kupitisha azimio lolote lile linaloazimia kuwa chama hicho ni cha kigaidi. <\/p>\n<p>&#8220;Ni jambo moja ambalo inabidi Ma&#341;ekani kushawishi kupata &#341;idhaa ya kimataifa. Ni jambo jingine kwa Umoja wa Mataifa, tumaini letu la mwisho la mfumo wa kidunia unaozingatia utawala wa she&#341;ia, kuzingatia kufuata nyayo,&#8221; anasema Nasse&#341; A&#341;u&#341;i, mwandishi wa vitabu kadhaa na p&#341;ofesa wa sayansi ya siasa katika Chuo Kikuu cha Massachusetts huko Da&#341;tmouth. <\/p>\n<p>Uamuzi wa Annan kujiweka mbali na se&#341;ikali mpya ya Mamlaka ya Palestina unaonekana kuchukua hatua dhidi ya Hamas kukataa kuitambua se&#341;ikali ya Is&#341;ael, lakini waangalizi wa mambo wanasema siyo haki kwani Is&#341;ael, ambayo imewahi kukiuka mapatano mengi ya kimataifa, pia haijawahi kuitambua se&#341;ikali ya Palestina na inakataa kusitisha mapigano dhidi ya watu wa Palestina. <\/p>\n<p>&#8220;Tunaweza tusihoji se&#341;a za Ma&#341;ekani na Is&#341;ael zinazokwenda kinyume na maadili,&#8221; anasema P&#341;ofesa A&#341;u&#341;i, &#8220;lakini kuunga mkono migomo mbalimbali ya Umoja wa Ulaya na Umoja wa Mataifa dhidi ya se&#341;ikali ya Kipalestina, ikiwa ni pamoja na watu waliopigwa katika ukatili wa uvamizi, inashangaza,&#8221; <\/p>\n<p>Pamoja na uamuzi wake kupunguza mahusiano na Wapalestina, Umoja wa Mataifa unasema utandelea na kazi yake inayohusiana na misaada ya kiutu katika Majimbo Yanayokaliwa. Hata hivyo, wale ambao wako ka&#341;ibu wakiangalia hali ya Palestina wanasema kupunguzwa kwa misaada na Ma&#341;ekani na Umoja wa Ulaya taya&#341;i kunasababisha shida kwa Wapalestina wa kawaida. <\/p>\n<p>Wapalestina ambao wameandikishwa na shi&#341;ika la wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNRWA wanata&#341;ajiwa kupata baadhi ya chakula, pamoja na kwamba usambazaji umepungua kutokana na Is&#341;ael kuweka vizuizi katika maeneo ya Gaza na maeneo mengine ya Majimbo Yanayokaliwa na walowezi, kulingana na wanaha&#341;akati wa masuala ya misaada. <\/p>\n<p>Mamlaka ya Wapalestina inadaiwa mishaha&#341;a na baadhi ya watumishi wa umma 150,000, ambao pamoja na familia zao ni moja ya tatu ya idadi nzima ya watu wa Palestina. Wengi wao hawajalipwa kwa wiki kadhaa sasa, na hawajui jinsi gani wataishi. <\/p>\n<p>&#8220;Wanaingia katika umaskini kwa kasi kubwa,&#8221; anasema Nadia Hijab, mwanafunzi mwandamizi katika Taasisi ya Mafunzo ya Wapalestina mjini Washington, shi&#341;ika la utafiti lisilokuwa la kise&#341;ikali la Kia&#341;abu ambalo linataka kuelewa kwa undani masuala ya Palestina.. <\/p>\n<p>&#8220;Kitu ambacho ni kibaya zaidi ni hali ya wasiwasi miongoni mwa mashi&#341;ika ya misaada kwasababu hawajui ni umbali gani wafanyakazi wake watashughulikia viongozi wa Kipalestina ambao wanakabiliwa na kufunguliwa mashitaka nchini Ma&#341;ekani.&#8221; <\/p>\n<p>Siku ya Ijumaa, Oxfam, shi&#341;ika la misaada la kimataifa, lilishutumu Umoja wa Ulaya kwa kusitisha msaada wa jumla ya dola milioni 37 kwa se&#341;ikali ya Palestina, wakisema hatua hiyo ingewaumiza watu wa kawaida. <\/p>\n<p>&#8220;Kitakachofanyika chochote kile katika uamuzi wa kisiasa, itakuwa ni watu wa kawaida watakaoumia kutokana na matokeo hayo,&#8221; shi&#341;ika hilo lilisema. &#8220;Kupunguza misaada kunaweza kuzo&#341;otesha taasisi za ndani ambazo taya&#341;i zina matatizo.&#8221; <\/p>\n<p>Katika hali ya kuongezeka kwa shinikizo kutoka Magha&#341;ibi na Umoja wa Mataifa, Mahmoud Zaha&#341;, wazi&#341;i wa mambo ya kigeni wa Palestina, ali&#341;ipotiwa kupeleka ba&#341;ua kwa Annan wiki hii akisema se&#341;ikali yake ilikuwa ina nia ya kuchukua hatua inayopaswa. <\/p>\n<p>&#8220;Kama Is&#341;ael itaondoka katika Ukanda wa Magha&#341;ibi na Masha&#341;iki mwa Je&#341;usalem, na kutambua haki ya ku&#341;ejea kwa wakimbizi na kuondoa ukuta wake mpya, naweza kukudhihi&#341;ishia kuwa Hamas itakuwa taya&#341;i kuchukua hatua kali, iatakayozingatia haki na usawa, ili kuwa na amani ya kudumu na Wais&#341;ael,&#8221; Khalid Meshaal, kiongozi wa Hamas, aliliambia gazeti la Kifa&#341;ansa la &#8220;Le Figa&#341;o&#8221; hivi ka&#341;ibuni. <\/p>\n<p>Kwa maoni ya P&#341;ofesa A&#341;u&#341;i, madai yake yote ya Meshaal, tofauti na ya Is&#341;ael na wafuasi wake, yapo mikononi mwa she&#341;ia za kimataifa. <\/p>\n<p>&#8220;Kwa nini Umoja wa Mataifa siyo msimamizi na mtetezi wa she&#341;ia za kimataifa &#8221; anauliza. &#8220;Kampeni dhidi ya Hamas ni du&#341;u ya hivi ka&#341;ibuni zaidi dhidi ya ukandamizaji wa haki za Wapalestina.&#8221; <\/p>\n<p>Hata hivyo, Hamas imeshindwa kupata majibu yoyote mazu&#341;i kutoka kwa Annan na wasaidizi wake wa ka&#341;ibu, ambao wengi wanaamini kuwa wamekuwa ka&#341;ibu sana na Washington katika kuamua masuala ya kimuundo ambayo yalitakiwa kulindwa na vyombo husika katika Ba&#341;aza Kuu la Umoja wa Mataifa. <\/p>\n<p>Akithibisha mabadiliko ya se&#341;a katika Umoja wa Mataifa katika suala la kushughulika na Wapalestina, msemaji wa Annan aliwaambia waandishi Jumanne kuwa : &#8220;Ulikuwa na se&#341;ikali tofauti ambayo ilikuwa na se&#341;a tofauti.&#8221; <\/p>\n<p>Katika kujibu, balozi wa Palestina Riyad Mansou&#341; alielezea matumaini yake kuwa Umoja wa Mataifa utachukua hatua zinazostahili. <\/p>\n<p>&#8220;Nimewasiliana na wakubwa. Walisema hakuna mabadiliko ya se&#341;a,&#8221; Mansou&#341; aliiambia IPS siku ya Alhamisi. Msemaji wa ofisi ya Umoja wa Mataifa, hata hivyo, alipendekeza vingenevyo. <\/p>\n<p>&#8220;Ndiyo, kuna mabadiliko ya se&#341;a,&#8221; alisisitiza msemaji huyo akijibu madai ya Mansou&#341;. <\/p>\n<p>Siku ya Alhamisi, Wapalestina walipeleka kesi yao dhidi ya mashambulizi ya kijeshi ya Is&#341;ael kwa Ba&#341;aza la Usalama la Umoja wa Mataifa, lakini Ma&#341;ekani ilikataa &#341;asimu ya azimio kwa madai kuwa lilikuwa linaikandamiza Is&#341;ael. <\/p>\n<p>Hata hivyo, Washington, imekubali kufungua mjadala kuhusu pendekezo la Ba&#341;aza la Usalama juu ya suala hilo. Kwa kutambua kuwa mjadala huo usingetoa mwelekeo wowote ule wa kishe&#341;ia, Wapalestina wanata&#341;ajia kutumia nafasi hiyo kudai ushindi wa kimawazo. <\/p>\n<p>&#8220;Itaonyesha jinsi gani mtu mmoja anazuia kazi za Is&#341;ael. Ni bahati mbaya sana,&#8221; mjumbe wa Palestina aliwaambia waandishi. <\/p>\n<p>Ukiwa umeombwa kufanyika na Muungano wa Nchi Zisizofunganana na Upande Wowote, mkutano huo unata&#341;ajiwa kuhudhu&#341;iwa na zaidi ya nchi 100.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Ap&#341;ili 14 (IPS) &ndash; Wakati ambapo wale wanaoendesha mambo ya Umoja wa Mataifa wanaonekana kuwa taya&#341;i kukubaliana na hatua za Ma&#341;ekani na Is&#341;ael kugomea uongozi wa Wapalestina, wachambuzi hu&#341;u na waangalizi wa mambo wanashangaa kama mbinu hiyo itakuwa na matunda yoyote yale kama siyo mzunguko mwingine wa vita na umwagaji wa damu&#8230;.<\/p>\n","protected":false},"author":182,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1244","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1244","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/182"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1244"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1244\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1244"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1244"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1244"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}