{"id":1241,"date":"2006-04-18T13:40:01","date_gmt":"2006-04-18T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/04\/18\/afrika-kusini-maji-yaliyosafisha-jitihada-za-kupambana-na-ukimwi\/"},"modified":"2006-04-18T13:40:01","modified_gmt":"2006-04-18T13:40:01","slug":"afrika-kusini-maji-yaliyosafisha-jitihada-za-kupambana-na-ukimwi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/04\/18\/afrika-kusini-maji-yaliyosafisha-jitihada-za-kupambana-na-ukimwi\/","title":{"rendered":"AFRIKA KUSINI: Maji Yaliyosafisha Jitihada za Kupambana na Ukimwi"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Ap&#341;ili 11 (IPS) &ndash; Wanaha&#341;akati wa masuala ya Ukimwi wameelezea wasiwasi wao kuhusu maneno ya makamu wa &#341;ais wa zamani wa Af&#341;ika Kusini Jacob Zuma kuwa alipunguza hata&#341;i ya kuambukizwa vi&#341;usi vya Ukimwi wakati alipofanya ngono isiyokuwa salama na mwanamke mwenye vi&#341;usi hivyo, kwa kuoga baada ya kitendo hicho.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Zuma pia alisema aliamini kuwa uwezekano kwa mwanaume mwenye afya kupata VVU kutoka kwa mwanamke huyo ulikuwa mdogo. <\/p>\n<p>&#8220;Ni ujinga. Hakuna ushahidi wa kuunga mkono jambo hilo,&#8221; alisema Nathan Geffen wa &#8220;T&#341;eatment Action Campaign&#8221; (TAC), shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;ikali lenye makao yake makuu katika mji wa mwambao wa Cape Town ambalo linazengea kubo&#341;esha upatikanaji wa madawa ya kupunguza makali ya Ukimwi. <\/p>\n<p>&#8220;Kuna wanaume wengine milioni mbili nchini Af&#341;ika Kusini ambao wana vi&#341;usi. Wengi wao waliambukizwa kwa kufanya mapenzi na wanawake. Kwa hakika kabisa, siyo suala lisilokuwa la kawaida kwa wanaume kuambukizwa vi&#341;usi kutoka kwa wanawake,&#8221; aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS. <\/p>\n<p>&#8220;Ni (maneno ya Zuma) ambayo yamesababisha uha&#341;ibifu mkubwa na kuchanganya mambo.&#8221; <\/p>\n<p>Zuma alitoa maneno hayo alipokuwa akihojiwa na mahakama kwa madai ya kumbaka mwanamke mwenye um&#341;i wa miaka 31, ambaye ni mwanaha&#341;akati wa masuala ya Ukimwi anayeishi na vi&#341;usi hivyo mwezi Novemba mwaka jana. Nchini Af&#341;ika Kusini, kiwango cha maambukizo ya Ukimwi kwa watu wazima ni kama asilimia 25, kulingana na Mpango wa Pamoja wa Kupambana na Ukimwi wa Umoja wa Mataifa (UNAIDS). <\/p>\n<p>Ukweli kwamba alikuwa kama mwenyekiti wa Ba&#341;aza la Kudhibiti Ukimwi nchini Af&#341;ika Kusini na kama mlezi wa chama cha &#8220;Mo&#341;al Regene&#341;ation Movement&#8221; nchini humo imesababisha pia wengine kutazama maneno ya Zuma kwa wasiwasi. Zaidi ya watu milioni tano nchini Af&#341;ika Kusini wanaishi na vi&#341;usi ambao ni wengi zaidi kuliko nchi yoyote ile ulimwenguni. <\/p>\n<p>Maneno ya Geffen yenaungwa mkono na wanaha&#341;akati. <\/p>\n<p>&#8220;Haya ni maneno ya kijinga. Kisayansi, hakuna kitu kama cha kupunguza hata&#341;i ya kuambukizwa VVU kwa kujisafisha. Nadhani wazo hilo (la kuoga) lilikuwa na nia ya kuha&#341;ibu ushahidi,&#8221; Do&#341;othy Odhiambo wa Mtandao wa Watu Wanaoishi na VVU na Ukimwi Af&#341;ika tawi la Kenya (NAP+) alisema wakati wa mahojiano na IPS. (NAP+, shi&#341;ika linalofanya kazi katika ba&#341;a zima lina ofisi katika Af&#341;ika Masha&#341;iki, Kusini na Magha&#341;ibi.) <\/p>\n<p>&#8220;Kama ni kweli kwamba watu wasingepata vi&#341;usi baada ya kufanya ngono, kila mmoja angeweza kuoga baada ya kufanya mapenzi,&#8221; alisema. &#8220;Hayo (maneno ya Zuma) yanaweza ku&#341;ejesha nyuma kampeni ya kupunguza kuenea kwa VVU ba&#341;ani Af&#341;ika katika miaka ijayo.&#8221; <\/p>\n<p>Aliongeza m&#341;atibu wa NAP+ Jefte&#341; Mxotshwa, &#8221;Zuma ni kiongozi wa siasa. Ana heshima kubwa sana na ushawishi, hasa katika maeneo ya vijijini. Na nchi yake, Af&#341;ika Kusini inaonekana kama kiongozi katika ukanda huu. Matokeo yake, watu katika ukanda wa Kusini mwa Af&#341;ika wanasikiliza kwa umakini mkubwa mtu mwenye ushawishi kama Zuma anapoongea.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Kwa mfano, wabakaji watabaka na kukimbilia kuoga. Watasema makamu wa &#341;ais (wa zamani) alifanya hivyo. Kwa nini sisi tusifanye &#8221; alidhani. <\/p>\n<p>Takwimu zilizotolewa na UNAIDS zinaonyesha kuwa zaidi ya theluthi moja ya watu wote walioambukizwa na VVU mwishoni mwa mwaka 2005 waliishi Kusini mwa Ba&#341;a la Af&#341;ika: ambapo inakadi&#341;iwa kufikia watu milioni 15. <\/p>\n<p>Odhiambo na Mxotshwa walikuwa wakizungumza katika mkutano wa shi&#341;ika lenye makao yake makuu mjini Geneva la &#8220;Inte&#341;national Fede&#341;ation of Red C&#341;oss and Red C&#341;escent Societies.&#8221; uliofanyika mapema mwezi huu katika jiji maa&#341;ufu kibiasha&#341;a Af&#341;ika Kusini la Johannesbu&#341;g. Mkutano wa siku mbili, ambao uliwavutia washi&#341;iki zaidi ya 200 &ndash; wengi wao wakitokea Kusini mwa Af&#341;ika &ndash; ulihusu janga la VVU na Ukimwi katika kanda. <\/p>\n<p>Zuma siyo kiongozi wa kwanza wa Af&#341;ika Kusini kuleta utata kuhusu Ukimwi. Rais Thabo Mbeki amekuwa akishutumiwa kwa kuzo&#341;otesha jitihada za kupambana na gonjwa hilo kutokana na kuhoji uhusiano uliopo kati ya VVU na Ukimwi. <\/p>\n<p>Hukumu ya Zuma pia imezusha mjadala nchini Af&#341;ika Kusini kuhusu ubakaji &ndash; ambao ma&#341;a nyingi ni jambo kubwa katika nchi ambayo, kulingana na Watu Wanaopinga Unyanyasaji wa wanawake, mwanamke mmoja anabakwa katika kila dakika 26. <\/p>\n<p>Asasi hiyo ya ki&#341;aia yenye makao yake makuu mjini Johannesbu&#341;g lilisema zaidi kuwa ni tukio moja tu kati ya tisa ya ubakaji yana&#341;ipotiwa, huku asilimia saba tu ya wahusika wa matukio hayo wakikutwa na hatia. <\/p>\n<p>Wakisisitiza kuwa Zuma hana hatia, mamia ya wafuasi wa naibu &#341;ais wa zamani wanakusanyika mahakamani mjini Johannesbu&#341;g kila ma&#341;a anaposimama kizimbani. Wiki iliyopita mwanashe&#341;ia wake alipata mapokezi ya kifalme alipokuwa yeye pamoja na jopo la wenzake walipokuwa wakitoka mahakamani. <\/p>\n<p>Lakini waandamanaji waliikasi&#341;isha TAC, ambayo ilimwomba Zuma kuwatuliza wafuasi wake ambao wanaja&#341;ibu &#8220;kumtishia mwanamke ambaye wanadai alibakwa kutokana na kuhanikiza, wanamtukana na hata kumtupia vitu.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Kumtishia malalamikaji katika kesi ya ubakaji kunaonyesha dha&#341;au kubwa dhidi ya wanawake wote na haki ya binadamu yenye kinga ya kikatiba ambayo ni msingi wa kazi yetu ngumu ya kuleta demok&#341;asia ya kweli,&#8221; kilisema kikundi hicho, katika taa&#341;ifa. <\/p>\n<p>&#8220;Nchini Af&#341;ika Kusini ubakaji na udhalilishaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na wasichana ni sababu kubwa ya kuenea kwa janga la Ukimwi. Unyanyasaji dhidi ya wanawake ni mashambulizi ya kila siku dhidi ya utu na usawa wa wanawake, na mahusiano ya kijamii.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Ap&#341;ili 11 (IPS) &ndash; Wanaha&#341;akati wa masuala ya Ukimwi wameelezea wasiwasi wao kuhusu maneno ya makamu wa &#341;ais wa zamani wa Af&#341;ika Kusini Jacob Zuma kuwa alipunguza hata&#341;i ya kuambukizwa vi&#341;usi vya Ukimwi wakati alipofanya ngono isiyokuwa salama na mwanamke mwenye vi&#341;usi hivyo, kwa kuoga baada ya kitendo hicho. Zuma pia alisema aliamini kuwa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":17,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1241","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1241","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/17"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1241"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1241\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1241"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1241"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1241"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}