{"id":1240,"date":"2006-04-12T13:40:01","date_gmt":"2006-04-12T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/04\/12\/elimu-afrika-achana-na-jembe-la-ngombe-mpeleke-mtoto-shule\/"},"modified":"2006-04-12T13:40:01","modified_gmt":"2006-04-12T13:40:01","slug":"elimu-afrika-achana-na-jembe-la-ngombe-mpeleke-mtoto-shule","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/04\/12\/elimu-afrika-achana-na-jembe-la-ngombe-mpeleke-mtoto-shule\/","title":{"rendered":"ELIMU&ndash;AFRIKA: Achana na Jembe la Ng&#8217;ombe, Mpeleke Mtoto Shule"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Ap&#341;ili 10 (IPS) &ndash; Wajumbe katika wa&#341;sha iliyofanyika hivi ka&#341;ibuni katika mji mkuu wa Kenya, Nai&#341;obi, wameonyesha wasiwasi wao jinsi aji&#341;a ya watoto inavyozo&#341;otesha jitihada za kutekeleza lengo la elimu ya msingi kwa wote.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Aji&#341;a kwa watoto ni kikwazo kikubwa kwa EFA (Elimu kwa Wote), na kutokomeza aji&#341;a hiyo ni jambo la msingi kufanikisha EFA,&#8221; alisema Bob P&#341;outy wa Benki ya Dunia, ambaye pia aliuambia mkusanyiko huo kuwa asilimia 11 ya watoto chini ya um&#341;i wa miaka 14 ba&#341;ani Af&#341;ika wapo katika aina fulani ya aji&#341;a. (&#8216;Elimu kwa Wote: Kufikia Lengo letu la Pamoja&#8217; ni azimio ambalo lilitokana na Kongamano la Elimu Ulimwenguni, lilofanyika katika mji mkuu wa Senegal wa Daka&#341; mwaka 2000. Nchi zilizohudhu&#341;ia kongamano hilo ziliahidi kufanikisha shabaha ya kuwa na elimu ya msingi yenye ubo&#341;a kwa wote ifikapo mwaka 2015, au hata mapema zaidi.) <\/p>\n<p>Umaskini ndiyo sababu kuu ya aji&#341;a kwa watoto. Pamoja na kwamba ufutaji wa ada ya elimu ya msingi katika nchi kadhaa za ba&#341;a la Af&#341;ika kumewezesha wazazi wengi kuwapeleka watoto wao shule, bado kuna wengine wanahitaji watoto kuweza kusaidia katika kuongeza kipato cha familia kwa kufanya kazi, badala ya kwenda shule. <\/p>\n<p>Katika jitihada za kubadili hali hii, Kenya imeja&#341;ibu kuwapa wazazi kiasi kidogo cha fedha ili kutokutumia watoto wao katika aji&#341;a; na fedha hizo zinatolewa kwa sha&#341;ti la watoto kwenda shule. <\/p>\n<p>&#8220;Tunawapatia motisha kidogo wazazi ambao ni mafuka&#341;a na ambao watoto wao wamekuwa wakifanya kazi katika mashamba makubwa na katika maeneo mengine, ikiwa ni pamoja na yatima na watoto wanaoishi katika mazingi&#341;a magumu,&#8221; Ma&#341;y Njo&#341;oge, mku&#341;ugenzi wa elimu ya msingi katika Wiza&#341;a ya Elimu, Sayansi na Teknolojia aliliambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS. <\/p>\n<p>&#8220;Tunawapatia kati ya shilingi za Kenya 500 hadi 1,000 (kama dola saba hadi 14) kwa mwezi kwa kila mtoto, na tuna mipango ya kuongeza kiwango hicho hadi kufikia kiwango cha juu cha shilingi za Kenya 3,000 (ka&#341;ibu dola 43).&#8221; <\/p>\n<p>Kuna ka&#341;ibu watoto milioni mbili wanaofanya kazi nchini Kenya ambao wana um&#341;i kati ya miaka mitano na 17, hii ni kulingana na Taasisi ya Takwimu ya Taifa. Ka&#341;ibu theluthi ya watoto hao wanafanya kazi katika mashamba makubwa ya kilimo cha biasha&#341;a na uvuvi, asilimia 23.6 katika kilimo kidodo kidogo, na ka&#341;ibu asilimia 18 katika sekta ya majumbani. <\/p>\n<p>Njo&#341;oge alisema motisha huo umesaidia kuongeza watoto wanaoandikishwa shule, ambao waliongezeka kwa kasi kubwa baada ya kaunzishwa kwa elimu ya msingi ya bu&#341;e nchini Kenya mapema mwaka 2003. Kulingana na takwimu za se&#341;ikali, uandikishwaji sasa unasimamia katika milioni 7.6, kutoka milioni 5.9 mwaka 2002.<\/p>\n<p>Hata hivyo, kuna hofu kuwa shule nchini Kenya hazina vifaa vya kutosha kuweza kukidhi ongezeko hilo la watoto, na kwamba ubo&#341;a wa elimu wanayopata wanafunzi unaweza kuathi&#341;iwa. <\/p>\n<p>Nchi hiyo ya Af&#341;ika Masha&#341;iki inakabiliwa na uhaba mkubwa wa walimu, kwa mfano. Katika maeneo ya vijijini na katika makazi yasiyokuwa &#341;asmi katika maeneo ya mijini, mwalimu mmoja anaweza kuhudumia hadi watoto 100 katika da&#341;asa. <\/p>\n<p>Kwa kuongeza, kuna uhaba wa mada&#341;asa, hivyo kusababisha kuwepo kwa zamu za kutumia mada&#341;asa kwa wanafunzi wakati wa asubuhi na wengine kuingia wakati wa mchana. Uhaba wa vitabu pia ume&#341;ipotiwa. <\/p>\n<p>Wakati ambapo wiza&#341;a ya elimu inatumia asilimia 28 ya bajeti ya taifa, kiasi kikubwa cha fedha hizi zinaingia kwenye mpango wa elimu ya msingi bu&#341;e. <\/p>\n<p>Nchi ya ji&#341;ani ya Tanzania, ambayo iliondoa ada katika elimu ya msingi mwaka 2001, inakabiliwa na changamoto zinazofanana. <\/p>\n<p>&#8220;Walimu walikuwa wachache sana hasa katika maeneo ya kijijini. Walimu wengi walibakia katika maeneo ya mijini, na ilibidi tutafute njia za kuwahamasisha kwenda vijijini,&#8221; Olive&#341; Mhaiki, naibu katibu mkuu wa Wiza&#341;a ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, aliiambia IPS katika wa&#341;sha ya Nai&#341;obi. <\/p>\n<p>&#8220;Tunajenga nyumba za walimu katika maeneo ya vijijini,&#8221; aliongeza. Ili kuweza kupunguza msongamano katika mada&#341;asa, wanajamii wamehamasishwa kujenga mada&#341;asa mapya. <\/p>\n<p>Nchini Malawi, ambapo elimu ya msingi kwa wote ilianza kutumika ka&#341;ibu miaka kumi iliyopita, pia ilikabiliwa na changamoto ya kuima&#341;isha kiwango cha ubo&#341;a wa elimu kutokana na kuongezeka kwa wanafunzi. Wanafunzi waliongezeka kutoka milioni 1.9 hadi milioni 3.2 baada ya kuanza kwa mpango wa elimu ya msingi bu&#341;e. <\/p>\n<p>&#8220;Hili lilikuwa ongezeko kubwa, ambapo moja kwa moja tuligundua kwamba tulihitaji kuaji&#341;i walimu zaidi. Tulihitaji walimu 53,000 lakini tulikuwa na walimu 27,000 tu,&#8221; alisema Nelson Kape&#341;eme&#341;a, mku&#341;ugenzi wa elimu ya msingi katika Wiza&#341;a ya Elimu. Matokeo yake, se&#341;ikali ilianza jitihada za pamoja kutoa mafunzo na kuaji&#341;i walimu wapya 26,000. <\/p>\n<p>Hata hivyo, Mhaiki alionya kuwa elimu ya msingi yenye mafanikio mazu&#341;i siyo mwisho wa matatizo ya elimu katika Af&#341;ika; elimu ya sekonda&#341;i ya bu&#341;e ni lazima pia itolewe, kama Af&#341;ika inataka kuondokana na watu walioshidnwa kumaliza elimu ya msingi. <\/p>\n<p>&#8220;Idadi kubwa ya Waaf&#341;ika ni maskini, na hii ndiyo sababu mpango wa kuondoa ada ya elimu ya msingi ulikuwa na lengo la kuhakikisha idadi kubwa ya watoto iwezekanavyo wanaopata elimu hiyo unaleta mantiki. Lakini haileti mantiki kama watoto hawa wanaomnaliza elimu ya msingi wanashindwa kupata elimu ya sekonda&#341;i kwasababu ya kushindwa kulipia ada,&#8221; alibainisha. <\/p>\n<p>&#8220;Ni suala gumu ambalo linahusisha uchumi wa nchi husika, lakini hata hivyo linahitaji kushughulikiwa,&#8221; aliongeza Mhaiki, akibainisha kuwa ni asilimia 20 tu ya watoto waliomaliza elimu ya msingi nchini Tanzania mwaka jana wamepata fu&#341;sa ya kujiunga na elimu ya juu.<\/p>\n<p>Wa&#341;sha ya siku tatu ya Nai&#341;obi, ambayo ilimalizika siku ya Ijumaa, iliandaliwa na Shi&#341;ika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa. Ka&#341;ibu wataalamu wa elimu 200, watunga se&#341;a na wahisani walihudhu&#341;ia mkutano huo kujadili maendeleo ya jithada za kukomesha ada katika elimu ya msingi ba&#341;ani Af&#341;ika. <\/p>\n<p>Pia waliweza kubadilishana uzoefu wa jinsi gani ya kukabiliana na changamoto zinazokabili nchi ambazo zimefuta ada ya elimu ya msingi, ambazo ni pamoja na Kenya, Tanzania, Malawi, Bu&#341;undi, Ethiopia, Msumbiji na Ghana.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Ap&#341;ili 10 (IPS) &ndash; Wajumbe katika wa&#341;sha iliyofanyika hivi ka&#341;ibuni katika mji mkuu wa Kenya, Nai&#341;obi, wameonyesha wasiwasi wao jinsi aji&#341;a ya watoto inavyozo&#341;otesha jitihada za kutekeleza lengo la elimu ya msingi kwa wote. &#8220;Aji&#341;a kwa watoto ni kikwazo kikubwa kwa EFA (Elimu kwa Wote), na kutokomeza aji&#341;a hiyo ni jambo la msingi kufanikisha&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":73,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1240","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1240","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/73"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1240"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1240\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1240"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1240"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1240"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}