{"id":1239,"date":"2006-04-11T13:40:01","date_gmt":"2006-04-11T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/04\/11\/siasa-marekani-washington-yapunguza-misaada-kwa-mamlaka-ya-palestina\/"},"modified":"2006-04-11T13:40:01","modified_gmt":"2006-04-11T13:40:01","slug":"siasa-marekani-washington-yapunguza-misaada-kwa-mamlaka-ya-palestina","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2006\/04\/11\/siasa-marekani-washington-yapunguza-misaada-kwa-mamlaka-ya-palestina\/","title":{"rendered":"SIASA &ndash; MAREKANI: Washington Yapunguza Misaada kwa Mamlaka ya Palestina"},"content":{"rendered":"<p>WASHINGTON, Ap&#341;ili 8 (IPS) &ndash; Wiki moja baada ya Mamlaka ya Palestina (PA) kuapisha se&#341;ikali yake mpya inayoongozwa na chama cha Hamas, siku ya Ijumaa Ma&#341;ekani ilitangaza kwamba itaahi&#341;isha misaada yote ya moja kwa moja kwa PA na kuongeza misaada ya kiutu kwa watu waliopo chini ya uangalizi wa nchi hiyo.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Hatua hiyo, ambayo ilifuatia tangazo kama hilo lililotolewa na Tume ya Umoja wa Ulaya (EC) siku ya Alhamisi, inakuja wakati PA, ambayo ilishindwa kulipa mshaha&#341;a wa wafanyakazi wake 140,000 wiki iliyopita, kukabiliwa na kuanguka kabisa kifedha. <\/p>\n<p>&#8220;Kutokana na kwamba se&#341;ikali mpya inayoongozwa na Hamas imeshindwa kukubaliana na kanuni za Ma&#341;idhiano za kutokutumia nguvu, kuitambua Is&#341;ael, na kuiheshimu mikataba mbalimbali kati ya pande husika,&#8221; alisema msemaji wa Wiza&#341;a ya Mambo ya Kigeni Sean McCo&#341;mack wakati akizungumzia masha&#341;ti ya misaada kwa Hamas yaliyokubaliwa mwezi Feb&#341;ua&#341;i na Ma&#341;ekani, Umoja wa Ulaya (EU), Russia na Umoja wa Mataifa, &#8220;Ma&#341;ekani inasitisha kwa muda misaada kwa ba&#341;aza la mawazi&#341;i la se&#341;ikali ya Palestina na wiza&#341;a zake zote.&#8221; <\/p>\n<p>McCo&#341;mack pia alitoa taa&#341;ifa ya Wazi&#341;i wa Mambo ya Kigeni wa Ma&#341;ekani Condoleezza Rice akiahidi ku&#341;ejesha misaada kama masha&#341;ti yaliyokubaliwa yatatekelezwa &#8220;au se&#341;ikali mpya itakayoingia mada&#341;akani itayakubali&#8221;. <\/p>\n<p>Haja ya &#8220;kubadili se&#341;ikali&#8221; katika mamlaka za Palestina ilibainishwa katika taa&#341;ifa iliyotolewa na Wiza&#341;a ya Mambo ya Kigeni ya Ma&#341;ekani ambayo ilisema kuwa Washington itatoa dola milioni 42 kama msaada ambao &#8220;utasaidia kukuza na kulinda njia za kukuza msimamo wa wastani na demok&#341;asia kwa Hamas&#8221;. <\/p>\n<p>Katika mazungumzo mafupi ma&#341;a tu baada ya hapo, Msaidizi wa Wazi&#341;i wa Mambo ya Nje wa Masuala ya Masha&#341;iki ya Ka&#341;ibu, David Welch, pia ali&#341;udia kusisitiza kuwa pamoja na ushindi wake wa kishindo katika bunge, Hamas ilishinda tu kwa asilimia 45 ya ku&#341;a zilizopigwa. <\/p>\n<p>&#8220;Asilimia hamsini na tano ya wale waliopiga ku&#341;a hawakuipigia Hamas,&#8221; alisema, akiongeza kuwa watunga se&#341;a wa Ma&#341;ekani walitaka tu &#8220;kuwapa baadhi ya matumaini (kuwa) sauti yao imesikika&#8221;. <\/p>\n<p>Welch pia alisisitiza kuendelea kwa Ma&#341;ekani kumuunga mkono Rais wa PA Mahmoud Abbas, kwasababu chama cha Ukombozi wa Wapaletsina (PLO) na Fatah wame&#341;idhia masha&#341;ti matatu yaliyowekwa na nchi za magha&#341;ibi. <\/p>\n<p>Tangazo hilo ambalo lilitokana na tathmini ndefu iliyofanywa baada ya Hamas kushinda uchaguzi wa wabunge wa Janua&#341;i, lilita&#341;ajiwa. Chini ya she&#341;ia za Ma&#341;ekani, haitakiwi kutoa msaada wowote ule kwa mashi&#341;ika ambayo yanaonekana katika &#8220;o&#341;odha ya ugaidi&#8221; ya Wiza&#341;a ya Mambo ya Kigeni&#8221;. <\/p>\n<p>Chini ya mpango mpya, Ma&#341;ekani itatoa jumla ya dola milioni 245 kama msaada wa kiutu, ongezeko la asilimia 57 katika kiasi kilichokuwa kinatolewa kwa Ukanda wa Magha&#341;ibi na Gaza, lakini hakuna kiasi katika jumla hiyo ambacho kitatumika kwa ajili ya miundombinu wala mi&#341;adi mingine ambayo inahusisha wiza&#341;a za PA. <\/p>\n<p>Baadhi ya waangalizi wa mambo wana wasiwasi kuwa utawala wa Ma&#341;ekani utakuwa ukitoa adhabu zaidi kwa Wapalestina kutokana na kupigia ku&#341;a chama cha Hamas. <\/p>\n<p>&#8220;Inaonyesha baadhi ya ndoto na wasiwasi wake dhidi ya watu wa Palestina, wakati ikiendeleza se&#341;a zake za kushughulikia shi&#341;ika ambalo lipo kwenye o&#341;odha ya magaidi,&#8221; alisema A&#341;thu&#341; Hughes, Naibu Wazi&#341;i wa Zamani wa Mambo ya Kigeni aliyeshughulika na Masuala ya Masha&#341;iki ya Ka&#341;ibu katika utawala wa Clinton. <\/p>\n<p>Hata hivyo bado, alibainisha, ongezeko hilo halitapunguza mgogo&#341;o wa kifedha unaokabili se&#341;ikali mpya. Kwa kuwa na bajeti ya mwezi inayofikia dola milioni 165, ambapo dola milioni 35 tu zinatokana na pato la ndani, ni lazima PA ipate baadhi ya dola 135 kutoka kwa vyanzo vingine. <\/p>\n<p>Chini ya makubaliano ya Oslo, Is&#341;ael inatakiwa kutoa kati ya dola milioni 50 na 60 ambazo inakusanya kila mwezi kutokana na kodi na mapato mengine kwa niaba ya PA. Lakini, tangu uchaguzi wa Janua&#341;i, Is&#341;ael imeweka fedha hizo ilizokusanya katika amana nyingine. <\/p>\n<p>Kwa kuongeza, udhibiti wa Is&#341;ael wa mwenendo wa Wapalestina na biasha&#341;a zao ndani na nje ya majimbo ya nchi hiyo tangu uchaguzi wa Janua&#341;i umeshusha zaidi uchumi wa ndani. Is&#341;ael na Mabenki ya Kimataifa wana hofu kuwa biasha&#341;a zao na se&#341;ikali ya PA inayoongozwa na Hamas inaweza kuwasababishia kufunguliwa mashitaka chini ya she&#341;ia za kudhibiti ugaidi za Ma&#341;ekani na Umoja wa Ulaya hivyo kufunga milango yao kufanya biasha&#341;a na Palestina na PA, ambayo pia ilitangaza wiki hii kuwa se&#341;ikali iliyopita iliyoongozwa na Fatah ilikuwa imekusanya zaidi ya dola bilioni moja kama madeni katika benki binafsi. <\/p>\n<p>PA pia imekuwa ikitegemea baadhi ya dola milioni 70 kwa mwezi kama msaada wa moja kwa moja, ka&#341;ibu zote zikitoka Umoja wa Ulaya na mataifa wanachama. Fedha hizo kwa sasa zinaka&#341;ibia kuwa na uhakika wa kusitishwa au kuelekezwa kwenye misaada ya kiutu inayopitia kwa wazabuni binafsi na mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali (NGOs). <\/p>\n<p>Viongozi wa Hamas wamependekeza kuwa wangeweza kuleta tofauti wakipata misaada kutoka mataifa ya Kia&#341;abu, I&#341;an, na mataifa mengine taji&#341;i ya Kia&#341;abu, lakini ahadi za kuaminika bado hazijafikiwa, kulingana na viongozi wa Ma&#341;ekani. Baadhi ya viongozi wa mataifa ya Kia&#341;abu, kama vile Rais wa Mis&#341;i Hosni Muba&#341;ak, wameungana na mataifa ya magha&#341;ibi kuitaka Hamas kutekeleza masha&#341;ti yaliyowekwa. <\/p>\n<p>Ma&#341;ekani na viongozi wengine wa magha&#341;ibi wameonyesha wasiwasi wao kwamba mgogo&#341;o wa kifedha wa PA unaweza kusababisha machafuko katika majimbo yanayotawaliwa na Wapalestina, hasa kama mamia kwa maelfu ya wanausalama wake wenye matatizo wataishi bila malipo kwa miezi kadhaa. Hili pia linaelezewa kuleta wasiwasi miongoni mwa maofisa wa juu wa usalama wa Is&#341;ael waliopo ka&#341;ibu na wazi&#341;i mkuu mpya, Ehud Ohlme&#341;t. <\/p>\n<p>Hamas, ambayo iliingia mada&#341;akani kwa kile ambacho waangalizi wengi wa mambo walikiita uchaguzi hu&#341;u na wa haki kuwahi kutokea katika ulimwengu wa Kia&#341;abu, inaoenekana kuja kulaumiwa kwa vikwazo vyovyote vile vya misaada vitakavyowekwa dhidi ya majimbo yake, pengine hata kuweza kusababisha upinzani dhidi ya Magha&#341;ibi na sehemu ya Wapalestina wanaounga mkono Hamas. <\/p>\n<p>Matokeo yake, wachambuzi wengi wa mambo wanaamini kuwa Umoja wa Ulaya, se&#341;ikali mpya ya Is&#341;ael, na utawala wa Geo&#341;ge W. Bush wamejiandaa kuwa taya&#341;i kubadilisha msimamo katika kushughulikia suala la Hamas kuliko ilivyotajwa katika tangazo la wiki hii. <\/p>\n<p>Kwa hakika, utawala wa Bush wiki hii ulitafuta kwa mafanikio mabadiliko ya she&#341;ia ya kuzuia misaada yote ya moja kwa moja kwa se&#341;ikali ya PA inayoongozwa na Hamas kuwa inge&#341;uhusu kutolewa kwa msaada kama huo kama &#8220;utakuwa na umuhimu wowote ule kwa maslahi ya usalama wa taifa la Ma&#341;ekani&#8221;. <\/p>\n<p>Chini ya mpango wa misaada wa Wiza&#341;a ya Mambo ya Kigeni, Washington itaongeza mchango wake kwa Shi&#341;ika la Umoja wa Mataifa la Misaada na Ujenzi kutoka dola milioni 100 hadi dola milioni 130. Pia inapanga kuongeza misaada ya chakula kwa majimbo yanayotawaliwa na Wapalestina kutoka dola milioni 10 hadi dola milioni 60 na kuongeza misaada inayohusiana na &#8220;demok&#341;asia&#8221;, ikiwa ni pamoja na kuwa na utawala wa msimamo wa wastani wa Hamas&#8221; kutoka dola milioni 30 hadi dola milioni 42. <\/p>\n<p>Wakati huo huo, itaahi&#341;isha au kufuta kabisa msaada wa moja kwa moja wa dola milioni 45 kwa PA na dola milioni 130 za mi&#341;adi ya miundombinu ambayo wiza&#341;a za PA zinahusika.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>WASHINGTON, Ap&#341;ili 8 (IPS) &ndash; Wiki moja baada ya Mamlaka ya Palestina (PA) kuapisha se&#341;ikali yake mpya inayoongozwa na chama cha Hamas, siku ya Ijumaa Ma&#341;ekani ilitangaza kwamba itaahi&#341;isha misaada yote ya moja kwa moja kwa PA na kuongeza misaada ya kiutu kwa watu waliopo chini ya uangalizi wa nchi hiyo. Hatua hiyo, ambayo ilifuatia&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":68,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-1239","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1239","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/68"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1239"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1239\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1239"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1239"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1239"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}