 |
|
Dairy Farmers Pit 'JAMAICA Hope' Against Subsidies
JAMAICAN dairy farmers are struggling to stay
in business as they face tough competition from
cheaper subsidized milk imports from the EUROPEAN
UNION (E.U.).
According to farming officials the number of dairy
farmers has dropped from over four thousand to
just over 100 in the last 20 years
To compete effectively, the farmers are pinning
their hopes on the country's world famous tropical
cattle breed, the JAMAICA Hope.
The JAMAICA Hope can withstand the island's difficult
grazing conditions and produces 3 times more milk
than other cattle on the island.
The Jamaican Dairy Farmers Federation is also
urging the government to limit milk imports.
full story >> |
 |
|
Should KENYA be Receiving More Debt Relief?
Civic groups in Kenya say good governance should
be rewarded with debt relief, not more loans.
According to Chambers of Justice in Kenya, the
country’s debt burden stands at 9 billion AMERICAN
dollars, three times the annual national revenue
of 2.7 billion AMERICAN dollars.
In November last year the IMF approved a loan
of 250 million AMERICAN dollars to Kenya and other
donors followed by pledging amounts totalling
4.1 billion AMERICAN dollars.
These loans came in response to the Kenyan government’s
pledges to streamline procedures and crack down
on corruption.
However, NGOs maintain that irresponsible lending
to previous governments in Kenya is the main cause
of the debt burden - and that donors should be
held accountable for this by being obliged to
write off debts.
full story >> |
 |
|
The
'Unemployables'
As the ARGENTINE economy gradually recovers from
several years of recession and crisis, millions
find themselves stuck in the category of ''unemployable''
In Latin America, unemployment grew from 6.9 to
9.9 percent between 1990 and 2002. During the
crisis, more than half of the population of this
once-rich nation slipped below the poverty line.
According to Labour Economist, ERNESTO KRITZ,
although economic growth for 2003 stood at 8.7
percent, millions of ARGENTINEANS can only aspire
to jobs in the informal sector with no social
protection or stability.
A high school diploma is the minimum requirement
for obtaining a stable job offering social protection
in the market for unskilled labour, such as stocking
shelves in a supermarket.
According to the Education Ministry, since 2002,
67 percent of Argentines over the age of 15 dropped
out of high school before graduating.
full story >> |
 |
|
If
These Two Could Agree
LONDON - Activists around the world may yet gain
hope from the fact that the presidents of FINLAND
and TANZANIA, co-chairs on the World Commission
on the Social Dimension of Globalisation, were
able to agree on what it should mean.
full story >> |
 |
|
Incoherence Persists Among International Agencies
GENEVA - A report released last week by the World
Commission on the Social Dimension of Globalisation,
argues that the idea of decent work should be
a priority on the policy agenda.
full story >> |
 |
|
I.L.O. Report a 'Major Breakthrough'
BRUSSELS - Civil society groups have hailed the
much-anticipated report on globalisation, released
last week by the World Commission on the Social
Dimension of Globalisation.
full story >> |
 |
|
Change Is in the Air, Says ILO Chief GLOBAL
LONDON - A report by the World Commission on the
Social Dimension of Globalisation released this
week in LONDON calls for a strong role for the
UNITED NATIONS and other multi-lateral organisations
in bringing change towards fair globalization.
full story >> |
 |
|
A Positive Force or Source of World's Woes?
GENEVA - The World Commission on the Social Dimensions
of Globalisation, created by the I.L.O. two years
ago with the mission of channelling impassioned
confrontation into constructive dialogue, released
its report this week in LONDON.
full story >> |
 |
|
Hakuna Mshikamano Miongoni mwa Mashirika ya Kimataifa
GENEVA-Tume huru ya wataalam inapendekeza kwamba
upinzani dhidi ya utandawazi uliopo sasa utapungua
kwa kiasi kikubwa kama kutakuwepo na ajira za
kutosha, na kuonya kwamba kufanikisha lengo hilo
la juu sana kunahitaji mashirika ya kimataifa
kuwa na mshikamano.
Tume ya Mwelekeo wa Kijamii katika Utandawazi
inasema yanapokuja masuala ya utandawazi kunakuwepo
na msuguano baina ya mashirika ya kimataifa yaliyopo
katika biashara na fedha dhidi ya yale yaliyopo
katika masuala ya kijamii.
Shabaha kubwa ya upinzani dhidi ya utandawazi
inaelekezwa katika Shirika la Fedha Ulimwenguni
(IMF), Benki ya Dunia, Shirika la Biashara Ulimwenguni
(WTO), na baadhi ya mashirika muhimu ya Umoja
wa Mataifa. Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Duniani-ILO,
Juan Somavia anasema watu wanasema kama suluhisho
linapatikana kuhusu suala la ajira, mtizamo wao
wa utandawazi ungekuwa tofauti.
Ripoti ilityotolewa wiki jana na Tume ya Mwelekeo
wa Kijamii katika Utandawazi, iliyoundwa na ILO
miaka miwili iliyopita inasema kwamba suala la
kazi za heshima lipewe kipaumbele katika ajenda
za sera kwasababu hilo ndilo watu wanalolitaka.
Akitoa matokeo ya ripoti hiyo mjini London Jumanne
wiki jana Somavia alipendekeza taasisi za kimataifa
kulazimika kufanya kazi kwa pamoja ili faida ya
utandawazi kuwafikia watu wa wote, na kama zitashindwa
kufanya hivyo zitakuwa zimeshindwa kafanya kazi
zao. |
 |
|
Mabadiliko Yapo Hewani, Asema Mkuu wa ILO LONDON
LONDON- Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Ulimwenguni
(ILO), Juan Somavia anasema mapendekezo pekee
yaliyotolewa katika ripoti ya Tume ya Mwelekeo
wa Kijamii katika Utandawazi Duniani hayawezi
kuleta mabadiliko ila viambato vilivyopendekezwa
na tume.
Ripoti iliyotolewa na tume hiyo mjini London Jumatatu
inataka Umoja wa Mataifa pamoja na mashirika mengine
ya kimataifa kuwa na wajibu mkubwa wa kuleta mabadiliko
ili kuwepo na usawa katika utandawazi.
Tume inayoongozwa na Rais wa Finland Tarja Halonen
na Rais wa Tanzania Benjamin William Mkapa iliundwa
na Shirika la Kazi Duniani lenye makao yake makuu
mjini Geneva kuangalia athari za kijamii za utandawazi
.
Tume pia inatoa mapendekezo maalum ya kuyapa mataifa
maskini sauti katika taasisi za kimataifa, ili
msukumo wa demokrasia uweze kuwapatia watu usawa
zaidi wa kutoa maamuzi katika masuala ya kidunia.
Somavia aliliambia Shirika la Habari la IPS kwamba
ripoti iliyotolewa na tume inaleta matumaini,
kutokana na wajumbe wa tume kutokuwa wabinafsi,
na kushirikiana kwa pamoja "kujenga mvuto" ambao
uliwafanya watu kutoa mawazo tofauti katika mjadala
wa utandawazi. Alisema ripoti ilichukua mtizamo
binafsi wa watu katika kujibu maswali, na kinachopendekezwa
ni "kigumu lakini kinawezekana kufanyika." |
 |
|
Umoja wa Mataifa Watakiwa Kubeba Wajibu
LONDON- Ripoti ya Tume ya Dunia Kuhusu Utandawazi
imeutaka Umoja wa Mtaifa kubeba wajibu wa kuleta
mabadiliko ya usawa katika dunia ya utandawazi.
Ripoti hiyo iliyoandaliwa na Shirika la Kazi Ulimwenguni
(ILO) na kutolewa mjini London Jumanne iliyopita
inasema muundo wa kimataifa wa Umoja wa Mataifa
ni msingi wa utawala wa dunia na hivyo kuwa na
uwezo wa kipekee wa kusimamia mageuzi.
Wakizungumza katika ripoti hiyo, wenyeviti wa
Tume hiyo Rais wa Finland Tarja Halonen na Rais
wa Tanzania Benjamin William Mkapa wanasema ukweli
kwamba tume imehusisha wajumbe kutoka nchi tajiri
na maskini, vyama vya wafanyakazi na viongozi
wa vyama vya ushirika, wabunge na marais, viongozi
wa kijadi, wasomi na washauri wa serikali unaifanya
kuwa "mkusanyiko" wa mawazo mbalimbali.
Ripoti hiyo inataka Umoja wa Mataifa pamoja na
mashirika mengine ya kimataifa kuwa na wajibu
mkubwa wa kuwa "polisi" wa utandawazi ili kuleta
mabadiliko na kuwepo na usawa duniani.
Inasema mashirika ya kimataifa ikiwa ni pamoja
na Umoja wa Mataifa na pia taasisi nyingine kama
vile Benki ya Dunia na Shirika la Fedha Ulimwenguni
kwa pamoja yaanzishe "sera za pamoja" katika hali
ambayo watafanya kazi pamoja katika kuendeleza
sera ambazo zitaleta usawa wa kiuchumi, kijamii
na maendeleo katika masuala maalum.
Halonen na Mkapa walikumbushia maneno ya Katibu
Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan kwamba Umoja
wa Mataifa "umefika njia panda" na sasa ni wakati
wa dunia kufuata njia muafaka. |